Loading...

SPIKA NDUGAI AZINDUA FILAMU ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU KUELIMISHA JAMII JUU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

Loading...
SPIKA NDUGAI AZINDUA FILAMU ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU KUELIMISHA JAMII JUU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SPIKA NDUGAI AZINDUA FILAMU ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU KUELIMISHA JAMII JUU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SPIKA NDUGAI AZINDUA FILAMU ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU KUELIMISHA JAMII JUU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA
link : SPIKA NDUGAI AZINDUA FILAMU ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU KUELIMISHA JAMII JUU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

soma pia


SPIKA NDUGAI AZINDUA FILAMU ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU KUELIMISHA JAMII JUU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai  (katikati) akizungumza na Waheshimiwa Wabunge (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Filamu ya ‘Bahasha’ iliyoandaliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuelimisha jamii juu ya mapambano dhidi ya vitendo vya Rushwa. Wa pili  kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Kapt. Mst. George Mkuchika, wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Jasson Rweikiza na Wakwanza  kulia ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brig. Jen. John Mbungo.
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akikata utepe  kuzinduzi Filamu ya ‘Bahasha’ iliyoandaliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuelimisha jamii juu ya mapambano dhidi ya vitendo vya Rushwa. Wakwanza kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Kapt. Mst. George Mkuchika, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Jasson Rweikiza na Wakwanza  kulia ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brig. Jen. John Mbungo.
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) wakionesha kwa  Waheshimiwa Wabunge (hawapo pichani) CD za  Filamu ya ‘Bahasha’ mara baada ya kuizindua. Filamu hiyo imeandaliwa  na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuelimisha jamii juu ya mapambano dhidi ya vitendo vya Rushwa. Wa pili  kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Kapt. Mst. George Mkuchika, wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Jasson Rweikiza na Wakwanza  kulia ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brig. Jen. John Mbungo.
Waheshimiwa Wabunge wakifuatilia uzinduzi Filamu ya ‘Bahasha’ iliyoandaliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) kwa lengo la kuelimisha jamii juu ya mapambano dhidi ya vitendo vya Rushwa.


Hivyo makala SPIKA NDUGAI AZINDUA FILAMU ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU KUELIMISHA JAMII JUU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA

yaani makala yote SPIKA NDUGAI AZINDUA FILAMU ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU KUELIMISHA JAMII JUU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AZINDUA FILAMU ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU KUELIMISHA JAMII JUU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/spika-ndugai-azindua-filamu_11.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SPIKA NDUGAI AZINDUA FILAMU ILIYOANDALIWA NA TAKUKURU KUELIMISHA JAMII JUU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA"

Post a Comment

Loading...