Loading...

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yafanya upimaji afya na kutoa elimu kwa Wahariri na Waandishi wa Habari

Loading...
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yafanya upimaji afya na kutoa elimu kwa Wahariri na Waandishi wa Habari - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yafanya upimaji afya na kutoa elimu kwa Wahariri na Waandishi wa Habari, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yafanya upimaji afya na kutoa elimu kwa Wahariri na Waandishi wa Habari
link : Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yafanya upimaji afya na kutoa elimu kwa Wahariri na Waandishi wa Habari

soma pia


Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yafanya upimaji afya na kutoa elimu kwa Wahariri na Waandishi wa Habari





Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akimpima shinikizo la damu mwandishi wa habari kutoka Gazeti la Mtanzania Veronica Romwald kuashiria uzinduzi wa upimaji afya ikiwa ni moja ya maadhimisho ya siku ya moyo Duniani inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Septemba. Uzinduzi huo ulienda  sambamba na upimaji na utoaji wa elimu ya magonjwa ya moyo bila malipo kwa Wahariri na Waandishi wa Habari ikiwemo kiharusi, madhara ya mafuta katika mishipa ya damu ya moyo, lishe bora kwa afya ya moyo na tezi dume.
upimaji 2
Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Nancy Mallya akimpima sukari kwenye damu Mwandishi wa Habari Mkongwe Allan Lawa wakati wa uzinduzi wa upimaji afya ikiwa ni moja ya maadhimisho ya siku ya moyo Duniani inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Septemba. Uzinduzi huo ulienda  sambamba na upimaji na utoaji wa elimu ya magonjwa ya moyo bila malipo kwa Wahariri na Waandishi wa Habari ikiwemo kiharusi, madhara ya mafuta katika mishipa ya damu ya moyo, lishe bora kwa afya ya moyo na tezi dume.
upimaji 3
Daktari kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Theophylly Mushi akitoa ushauri wa afya ya moyo kwa  Mhariri wa gazeti la Habari Leo Mgaya Kingoba mara baada ya kufanyiwa vipimo vya moyo wakati wa uzinduzi wa upimaji wa afya ikiwa ni moja ya maadhimisho ya siku ya moyo Duniani inayoadhimishwa kila mwaka  tarehe 29 Septemba. Uzinduzi huo ulienda  sambamba na upimaji na utoaji wa elimu ya magonjwa ya moyo kwa Wahariri na Waandishi wa Habari ikiwemo kiharusi, madhara ya mafuta katika mishipa ya damu ya moyo, lishe bora kwa afya ya moyo na tezi dume.
upimaji 4
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakipata ushauri kabla ya kufanyiwa  vipimo vya magonjwa ya moyo wakati wa uzinduzi wa upimaji afya ikiwa ni moja ya maadhimisho ya siku ya moyo Duniani inayoadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Septemba. Uzinduzi huo ulienda  sambamba na upimaji na utoaji wa elimu ya magonjwa ya moyo bila malipo kwa Wahariri na Waandishi wa Habari ikiwemo kiharusi, madhara ya mafuta katika mishipa ya damu ya moyo, lishe bora kwa afya ya moyo na tezi dume.Picha na JKCI


Hivyo makala Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yafanya upimaji afya na kutoa elimu kwa Wahariri na Waandishi wa Habari

yaani makala yote Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yafanya upimaji afya na kutoa elimu kwa Wahariri na Waandishi wa Habari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yafanya upimaji afya na kutoa elimu kwa Wahariri na Waandishi wa Habari mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/taasisi-ya-moyo-jakaya-kikwete-jkci.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yafanya upimaji afya na kutoa elimu kwa Wahariri na Waandishi wa Habari"

Post a Comment

Loading...