Loading...
title : Tanzia: Mtafiti bingwa wa afya ya mama na mtoto Dr. Mbaruku aaga dunia
link : Tanzia: Mtafiti bingwa wa afya ya mama na mtoto Dr. Mbaruku aaga dunia
Tanzia: Mtafiti bingwa wa afya ya mama na mtoto Dr. Mbaruku aaga dunia
Mkurugenzi na wafanyakazi wa Taasisi ya Afya Ifakara (IHI) wanasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzao DK. Godfrey Mbaruku kilichotokea ghafla siku ya tarehe 2 Septemba 2018 nyumbani kwake Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Mpaka mauti yanamfika Dr. Mbaruku alikuwa Mtafiti Mkuu kwenye miradi. Dr. Mbaruku aliwahi kuwa Naibu Mkurungezi Mkuu wa Taasisi ya Afya Ifakara kati ya 2009 na 2015.
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani na mazishi yanatarajia kufanyika Dares Salaam siku ya Jumatano tarehe 5/09/2018 katika Makaburi ya Kinondoni.
Uongozi wa Taasisi ya Afya Ifakara unatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, wafanyakazi na wadau mbali mbali wa afya kwa msiba huu mkubwa.
IMETOLEWA NA IDARA YA RASILIMALI WATU
TAASISI YA AFYA IFAKARA
MIKOCHENI, DAR ES SALAAM
Septemba 4, 2018
Hivyo makala Tanzia: Mtafiti bingwa wa afya ya mama na mtoto Dr. Mbaruku aaga dunia
yaani makala yote Tanzia: Mtafiti bingwa wa afya ya mama na mtoto Dr. Mbaruku aaga dunia Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Tanzia: Mtafiti bingwa wa afya ya mama na mtoto Dr. Mbaruku aaga dunia mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/tanzia-mtafiti-bingwa-wa-afya-ya-mama.html
0 Response to "Tanzia: Mtafiti bingwa wa afya ya mama na mtoto Dr. Mbaruku aaga dunia"
Post a Comment