Loading...

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA.

Loading...
TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA.
link : TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA.

soma pia


TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA.

Mlinzi wa Manchester United anayetoka Ivory Coast Eric Bailly huenda akaiacha Manchester United mwezi januari ,mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 anaoneka kuzivutia timu za Arsenal na Tottenham

Manchester City, Tottenham, Barcelona na Juventus timu zote zinaonekana kumtaka mchezaji wa Paris St-Germain na kiungo wa kati Ufaransa Adrien Rabiot mwenye umri wa miaka 23. (Paris United, via Express)

Kiungo wa Manchester City na Ubelgiji Kelvin de Bruyne anatarajiwa kurudi kuichezea timu yake kwa mara ya kwanza baada ya kuwa majeruhi ,mchezo utakaopigwa tarehe 11 mwezi Novemba.Mchezaji huyo mwenye miaka 27 alitolewa kwenye mashindano baada ya kupata jeraha katika mguu wake wa kulia. (Star).

Meneja wa West Ham, Manuel Pellegrini amekanusha tetesi kuwa Lucas Perez mwenye umri wa miaka 33, alikataa kupasha viungo wakati wa mchezo dhidi ya Everton(London Evening Standard)

Mchezaji wa zamani wa England Stuart Pearce anaamini mshambuliaji wa zamani wa England James Milner 32,ni miongoni mwa wachezaji wazuri katika nafasi yake ya kiungo ndani ya EPL (Talksport)

Mshambuliaji wa Tottenham Harry Kane, 25 amekana madai kuwa hafanyi vizuri kutokana na uchovu alioupata kwenye mashindano ya kombe la dunia

Kiungo wa Wales, Aaron Ramsey, 27 alimuomba kocha wa timu ya Arsenal Unai Emery kumpumzisha katika mchezo dhidi ya Newcastle baada ya kuchoka. (Sun)

Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kuwa anajisikia vibaya kwa muda mdogo ambao anapewa kiungo wa England mwenye umri wa miaka 18 na Phil Foden 19, katika msimu huu. Chanzo:BBC.


Hivyo makala TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA.

yaani makala yote TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/tetesi-za-soka-barani-ulaya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA."

Post a Comment

Loading...