Loading...
title : TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA.
link : TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA.
TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA.
Manchester United na Real Madrid ana mipango ya kumsaini kiungo wa kati wa Ajax Mholanzi mwenye miaka 21, Frenkie de Jong, anayewekewa thamani ya pauni milioni 72. (De Telegraaf - in Dutch)
Kiungo wa Uhispania Ander Herrera, 29, angetaka kubaki huko Old Trump licha ya Barcecelona kumzea mate. (ESPN).
Arsenal wanamwinda mchezaji wa Rennes raia wa Senegal mwenye miaka 20 Ismaila Sarr, ambaye pia anatazamwa na Inter Milan.(Mirror)
Modric ndiye mchezaji bora wa kiume wa Fifa
NewCasle watafanya mkutano na meneja Rafael Benitez kuhusu bajeti ya mwezi Januari kujaribu kumzuia Mhispania huyo kusalia kwenye klabu baada ya mwisho wa msimu. (Telegraph).
Paris-St Germain wanammezea mate beki wa Juventus mwenye miaka 27 Mbrazil Alex Sandro, ambaye awali amehusishwa na Manchester United. (Le10 Sport - in French).
Hivyo makala TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA.
yaani makala yote TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/tetesi-za-soka-barani-ulaya_24.html
0 Response to "TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA."
Post a Comment