Loading...
title : TIMU YA UONGOZI WA CCM TAYARI YAWASILI KWENYE TUKIO LA MAZISHI YA WAHANGA MV. NYERERE MKOANI MWANZA
link : TIMU YA UONGOZI WA CCM TAYARI YAWASILI KWENYE TUKIO LA MAZISHI YA WAHANGA MV. NYERERE MKOANI MWANZA
TIMU YA UONGOZI WA CCM TAYARI YAWASILI KWENYE TUKIO LA MAZISHI YA WAHANGA MV. NYERERE MKOANI MWANZA
Timu ya Uongozi wa CCM yenye wajumbe sita inayoongozwa na Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga na Ndg. Humphrey Polepole ambao ni Wakuu wa Idara CCM Makao Makuu, tayari imewasili na kuweka Kambi Mkoani Mwanza Wilaya Ya Ukerewe katika kisiwa Cha Ukara ili kuhakikisha mambo yote yanayoendelea kusimamiwa na Serikali yanakwenda vizuri ikiwa ni pamoja na kuhakikisha Majeruhi wanapatiwa matibabu ya haraka pamoja na wale wote ambao wamepoteza maisha kuhakikisha kuna kuwepo na utaratibu mzuri wa kuwasitiri na kuwahifadhi.
Imetolewa na,
Idara ya Hamasa na Chipukizi
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)
Tarafa ya Ukara, Ukerewe Mwanza.
Hivyo makala TIMU YA UONGOZI WA CCM TAYARI YAWASILI KWENYE TUKIO LA MAZISHI YA WAHANGA MV. NYERERE MKOANI MWANZA
yaani makala yote TIMU YA UONGOZI WA CCM TAYARI YAWASILI KWENYE TUKIO LA MAZISHI YA WAHANGA MV. NYERERE MKOANI MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TIMU YA UONGOZI WA CCM TAYARI YAWASILI KWENYE TUKIO LA MAZISHI YA WAHANGA MV. NYERERE MKOANI MWANZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/timu-ya-uongozi-wa-ccm-tayari-yawasili.html
0 Response to "TIMU YA UONGOZI WA CCM TAYARI YAWASILI KWENYE TUKIO LA MAZISHI YA WAHANGA MV. NYERERE MKOANI MWANZA"
Post a Comment