Loading...

TTB YAMTEUA BI. JUDITH KUWA BALOZI WA HIARI WA UTALII INCHINI ITALIA.

Loading...
TTB YAMTEUA BI. JUDITH KUWA BALOZI WA HIARI WA UTALII INCHINI ITALIA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TTB YAMTEUA BI. JUDITH KUWA BALOZI WA HIARI WA UTALII INCHINI ITALIA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TTB YAMTEUA BI. JUDITH KUWA BALOZI WA HIARI WA UTALII INCHINI ITALIA.
link : TTB YAMTEUA BI. JUDITH KUWA BALOZI WA HIARI WA UTALII INCHINI ITALIA.

soma pia


TTB YAMTEUA BI. JUDITH KUWA BALOZI WA HIARI WA UTALII INCHINI ITALIA.

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imekabidhi rasmi majukumu kwa Balozi wa Hiari wa Utalii Bi Bi Judith Raymond Mushi aliyepewa jukumu la kufanya kazi na TTB ya kuvitangaza vivutio vya Tanzania katika nchi ya Italia. Bi. Judith ambaye ni Mtanzania ambaye anafanya kazi ya kufundisha Lugha ya Kiswahili nchini Italia. 

Wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika Septemba 27, 2018 katika ofisi za TTB jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa TTB Bi. Devota Mdachi amemkabidhi rasmi sharia na taratibu zinatakiwa kufuatwa wakati anatekeleza jukumu hilo kupitia matukio mbalimbali atakayokuwa anahudhuria akiwa italia. 
Pamoja na msaafu huo Bi . Judy alikabidhiwa majarida yenye taarifa za utalii wa Tanzania yanayotumiwa kama nyenzo ya kutangazia utalii wa Tanzania katika masoko mbalimbali ya Utalii Duniani. 

TTB imeweka utaratibu maalumu wa kuwapata mabalozi wa hiari wa Utalii. 


Hivyo makala TTB YAMTEUA BI. JUDITH KUWA BALOZI WA HIARI WA UTALII INCHINI ITALIA.

yaani makala yote TTB YAMTEUA BI. JUDITH KUWA BALOZI WA HIARI WA UTALII INCHINI ITALIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TTB YAMTEUA BI. JUDITH KUWA BALOZI WA HIARI WA UTALII INCHINI ITALIA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/ttb-yamteua-bi-judith-kuwa-balozi-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TTB YAMTEUA BI. JUDITH KUWA BALOZI WA HIARI WA UTALII INCHINI ITALIA."

Post a Comment

Loading...