Loading...

UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018

Loading...
UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018
link : UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018

soma pia


UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018

Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt. Hussein Khamis Shaban akizingumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali viliko Zanzibar kuhusiana na uzinduzi wa Mfumo wa Uimarishaji wa usajili wa taarifa vitambulisho vya Mzanzibar (ZAN ID) na Ofisi za Wilaya na Mkoa uzinduzi huo unaotarajiwa kufanyika tarehe 4-9-2018 katika Wilaya ya Dunga Wilaya ya Kati Unguja. Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar Dkt. Hussein Khamis Shaban, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi huo unaotarajiwa kufanyika Wilaya ya Kati Dunga. Mkoa wa Kusini Unguja. Mwanasheria wa Wakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii Zanzibar, Hamid Haji Machano akijibu na kutowa ufafanuzi wa maswali yalioulizwa wakati wa mkutano huo na waandishi wa habari kuhusiana na zoezi la uzinduzi wa usajili wa Vitambulisho vya mzanzibar kwa njia ya kisasa.


Hivyo makala UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018

yaani makala yote UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/uzinduzi-wa-mfumo-wa-kieletroni-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UZINDUZI WA MFUMO WA KIELETRONI WA KUSAJIRI WAKAAZI WA ZANZIBAR (E-ID CARD) SEPT 4, 2018"

Post a Comment

Loading...