Loading...
title : WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUTUMIA KITUO CHA KIBIASHARA NMB
link : WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUTUMIA KITUO CHA KIBIASHARA NMB
WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUTUMIA KITUO CHA KIBIASHARA NMB
Na Mwandishi Wetu, Morogoro
SERIKALI mkoani Morogoro imewahimiza Wafanyabiashara wakubwa eneo hilo kukitumia Kituo cha Biashara kilichofunguliwa na Benki ya NMB ili kutambua fursa zilizopo katika kituo hicho pamoja na kuunganishwa na masoko ya ndani na nje hatua itakayo saidia kukuza uchumi wa mkoa huo.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dk. Kebwe Steven Kebwe alisema hayo wakati akizindua kituo hicho cha kibiashara mkoani Morogoro kilichoanzishwa na Benki ya NMB kwa lengo la kuwasaidia wafanyabiashara wa mkoa huo.
Katika hotuba yake iliyosomwa na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Regina Chonjo, alisema NMB imeamua kuanzisha kituo hicho cha kibiashara baada ya Mkoa wa Morogoro kuwa na fursa nyingi za kiuchumi ikiwemo shughuli za kilimo, uchimbaji madini na masuala ya kiutalii.
Alisema kuwa NMB kupitia fursa hizo imeona iwasaidia Wafanyabiashara wa Morogoro kwa kuanzishia kituo maalumu ambacho licha ya kupata elimu na kuunganishwa na masoko ya ndani na nje pia watapatiwa huduma anuai za mikopo.
Kwa Upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker alisema kituo cha Biashara cha Morogoro ni kituo cha kumi nchini na kimeanzishwa mahususi kwa ajili ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Morogoro waweze kukuza uchumi wao.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB, Ineke Bussemaker akizungumza

Hivyo makala WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUTUMIA KITUO CHA KIBIASHARA NMB
yaani makala yote WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUTUMIA KITUO CHA KIBIASHARA NMB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUTUMIA KITUO CHA KIBIASHARA NMB mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/wafanyabiashara-watakiwa-kutumia-kituo.html
0 Response to "WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUTUMIA KITUO CHA KIBIASHARA NMB"
Post a Comment