Loading...

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO

Loading...
WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO
link : WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO

soma pia


WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO

 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Idara ya Udhibiti hali hatarishi, Anderson Mlabwa akizungumza jambo wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Benki hiyo juu ya kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapotokea, yaliyoendeshwa na wakufunzi kutoka Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, jijini Dar es salaam. Katikati ni Mkuu wa Chuo cha Zimamoto na Uokoaji nchini, Kamshna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto, Bakari Mrisho na kushoto ni Meneja wa Benki ya CRDB Kitengo cha Uendelezaji wa Biashara, Eng. Misana Mutani
 Mkuu wa Chuo cha Zimamoto na Uokoaji nchini, Kamshna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto, Bakari Mrisho akizungumza wakati wa kufunga mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wa Benki hiyo juu ya kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapotokea, yaliyoendeshwa na wakufunzi kutoka Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Lumumba, Pendo Assey (kulia) pamoja na Meneje wa Benki ya CRDB Tawi la Viva Premier Club, Naomi Mwamfupe (kushoto) wakishirikiana kuzima moto wakati wa mafunzo ya vitendo ya uzimaji moto, yaliyokuwa yakitolewa na wakufunzi kutoka Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, jijini Dar es salaam.
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Kibaha, Rosemary Nchimbi akionyesha namna ya kuzima moto kwa kutumia kifaa maalum cha kuzimia moto kwa majumbani.
 Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango akizima moto wakati wa mafunzo ya vitendo ya uzimaji moto, yaliyokuwa yakitolewa na wakufunzi kutoka Chuo cha Zimamoto na Uokoaji Makao Makuu, jijini Dar es salaam. 



Hivyo makala WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO

yaani makala yote WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/wafanyakazi-wa-benki-ya-crdb-wapatiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WAPATIWA MAFUNZO YA KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO"

Post a Comment

Loading...