Loading...
title : WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAENDELEA NA KIKAO CHA BARAZA HILO ZANZIBAR
link : WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAENDELEA NA KIKAO CHA BARAZA HILO ZANZIBAR
WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAENDELEA NA KIKAO CHA BARAZA HILO ZANZIBAR
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheiri akifafanua baadhi ya maswala yalioulizwa ndani ya kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Chukwani Zanzibar.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Khamis Juma Maalim akijibu maswali ndani ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Naibu Waziri Wizara ya Biashara na Viwanda Hassan Hamis Hafidh akijibu maswali ndani ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Naibu Waziri Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Lulu Msham Abdalla akijibu maswali ndani ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar..
Muakilishi wa Jimbo la Uzini Mohamed Raza akiwa ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi akisikiliza michango mbalimbali inayotolewa na wajumbe katika kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea Chukwani Zanzibar.
Muakilishi wa Jimbo la Chake chake Suleiman Sarahan Said kushoto akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo la Pangawe Khamis Juma Mwalim ndani ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Maudline Cyrus Castico akiwa na wageni wake Wajumbe wa Chama cha Wafanyakazi wa Mahotelini na Majumbani CHODAU nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar . PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAENDELEA NA KIKAO CHA BARAZA HILO ZANZIBAR
yaani makala yote WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAENDELEA NA KIKAO CHA BARAZA HILO ZANZIBAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAENDELEA NA KIKAO CHA BARAZA HILO ZANZIBAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/wajumbe-wa-baraza-la-wawakilishi.html
0 Response to "WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WAENDELEA NA KIKAO CHA BARAZA HILO ZANZIBAR"
Post a Comment