Loading...

WALIOFARIKI AJALI YA MAGARI MBEYA WAFIKIA 15

Loading...
WALIOFARIKI AJALI YA MAGARI MBEYA WAFIKIA 15 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WALIOFARIKI AJALI YA MAGARI MBEYA WAFIKIA 15, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WALIOFARIKI AJALI YA MAGARI MBEYA WAFIKIA 15
link : WALIOFARIKI AJALI YA MAGARI MBEYA WAFIKIA 15

soma pia


WALIOFARIKI AJALI YA MAGARI MBEYA WAFIKIA 15

Na EmanuelMadafa, Globu ya Jamii , Mbeya

WATU 15 wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matano ikiwemo gari dogo la abiria aina Hiace katika eneo la mteremko wa mlima Igawilo Kasoko Nje kidogo mwa Jiji la Mbeya.

Akizungumza Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Nyanda za Juu kusini Mbeya, Petro Siame, alisema hospitali hiyo jana ilipokea miili ya marehemu 13 na majeruhi 15 ambao kati yao wanne walitibiwa na kuruhusiwa.

Siame amesema kuwa alisema, kuwa majeruhi wawili walipoteza maisha wakati wakipatiwa matibabu hivyo idadi ya vifo kuongezeka na kufikia 15 ambapo miili ya watu 12 imetambulika.

‘Jana tulipokea miili ya watu 13 na majeuri 15 lakini kati ya hao wanne wamepatiwa matibabu lakini wawili wamefariki wakati wakiendelea na matibabu hivyo kufanya vifo kuwa 15 na mmoja yupo chumba cha wagonjwa mahututi ICU” alisema Siame

Amesema, majeruhi ambao wanaendelea kupata matibabu wengi wao wamepata majeraha makubwa vichwani na kuvunjika kwa mifupa ya viungo mbalimbali vya mwili ikiwemo mikono na miguu.

Naye Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, akizungumza mara baada ya kuwatembea majehurui waliolazwa katika Hospital ya Rufaa alisema watu 15 kupoteza maisha ni tukio kubwa sana tena kwa ajali ya aina ile ile licha ya serikali kuendelea kutafuta ufumbuzi wa changamoto hiyo.
Mashuhuda wa ajali ya barabarani iliyohusisha magari manne katika eneo la Mteremko wa Igawilo wakitazama moja ya Roli lililopata ajali katika eneo hilo la tukio.
Muuguzi Mkuu Hospital ya Rufaa Kanda ya Mbeya Petro Seme akizungumzia taarifa ya Majeruhi wa ajali.
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) akimpa pole mmoja wa madereva wa malori kampuni ya (Asasi) Sabu Mohamed ambaye amelazwa katika hospital ya rufaa Mbeya anako patiwa matibabu.


Hivyo makala WALIOFARIKI AJALI YA MAGARI MBEYA WAFIKIA 15

yaani makala yote WALIOFARIKI AJALI YA MAGARI MBEYA WAFIKIA 15 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WALIOFARIKI AJALI YA MAGARI MBEYA WAFIKIA 15 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/waliofariki-ajali-ya-magari-mbeya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WALIOFARIKI AJALI YA MAGARI MBEYA WAFIKIA 15"

Post a Comment

Loading...