Loading...

WAZIRI AZITAKA TAASISI ZA FEDHA, WAENDELEZAJI MILKI BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA NYUMBA

Loading...
WAZIRI AZITAKA TAASISI ZA FEDHA, WAENDELEZAJI MILKI BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA NYUMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI AZITAKA TAASISI ZA FEDHA, WAENDELEZAJI MILKI BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA NYUMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI AZITAKA TAASISI ZA FEDHA, WAENDELEZAJI MILKI BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA NYUMBA
link : WAZIRI AZITAKA TAASISI ZA FEDHA, WAENDELEZAJI MILKI BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA NYUMBA

soma pia


WAZIRI AZITAKA TAASISI ZA FEDHA, WAENDELEZAJI MILKI BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA NYUMBA

NAIBU Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anastazia Mabula amezitaka taasisi za fedha pamoja na waendelezaji milki binafsi kushirikiana na Serikali ili kutatua changamoto iliyopo ya uhaba wa nyumba na makazi nchini.

Akihutubia katika ufunguzi wa maonyesho ya nyumba yaliyoandaliwa na benki ya NMB jana na kufanyika katika viwanja vya Kambarage jijini Dodoma, Mabula amesema serikali inauhaba wa nyumba za watumishi hususani baada ya serikali kuhamia jijini Dodoma.

Amesemakuwa Tanzania inaupungufu wa nyumba 3,000,000, hivyo ili kutatua changamoto hiyo, kunatakiwa kujenga nyumba zaidi ya laki mbili kila mwaka hivyo hawana budi kuwashirikisha wadau kikamilifu kama benki ya NMB ilikuziba pengo hilo.

Akizungumzia upande wa Dodoma, Mabula amesema mahitaji ni kuwa na nyumba zaidi ya elfu 23 lakini zilizopo ni nyumba 1329 tuhivyo maonyesho hayo yaliyowakutanisha wateja wa benki ya NMB, waendelezaji milki pamoja na wauzaji wa vifaa vya ujenzi yana tija kubwa kwani yanalenga kuiunga mkono serikali katika suala la maendeleo.

“Makazi bora ni haki ya kila mwananchi, na tukiri kuwa tuna changamoto ya uhaba wa nyumba nchini, lakini kupitia maonyesho haya tunaweza kukutana na wadau mbalimbali kama vile taasisi za fedha waendelezaji miliki na pia wauzaji wa vifaavya ujenzi ili kumaliza changamoto hiyo,” Alisema Mabula.
Mwenyekiti wa Jumuiya za Tawalaza Mikoa (ALAT) Gulamhafeez Mukadamu (kulia) akipokea mfano wa hundi ya Sh milioni 100 kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Kati - Nsolo Mlozi, hundi hiyo iliyotolewa na Benki ya NMB Nchini kama udhamini wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa ALAT unaotarajiwa kufanyika kuanzia wiki ijayo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Angelina Mabula akizungumza kwenye ufunguzi wa maonyesho ya Nyumba day yaliyofanyika jana viwanja vya tawi la NMB Kambarage Jijini Dodoma. Benki ya NMB imeandaa siku ya Nyumba maalum kwaajili ya kuwakutanisha wateja wa mikopo ya nyumba wa NMB na makampuni ya ujenzi wa nyumba ambayo benki hiyo inamkataba nayo.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Angelina Mabula akitembelea mabanda ya Wadau wa vifaa vya ujenzi kwenye maonyesho ya nyumba day yaliyoandaliwa na Benki ya Nmb Jijini Dodoma jana. Benki ya NMB imeandaa siku ya Nyumba maalum kwaajili ya kuwakutanisha wateja wa mikopo ya nyumba wa NMB na makampuni ya ujenzi wa nyumba ambayo benki hiyo inamkataba nayo.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi - Angelina Mabula akitembelea mabanda ya Wadau wa vifaa vya ujenzi kwenye maonyesho ya nyumba day yaliyoandaliwa na Benki ya Nmb Jijini Dodoma jana. Benki ya NMB imeandaa siku ya Nyumba maalum kwaajili ya kuwakutanisha wateja wa mikopo ya nyumba wa NMB na makampuni ya ujenzi wa nyumba ambayo benki hiyo inamkataba nayo. 



Hivyo makala WAZIRI AZITAKA TAASISI ZA FEDHA, WAENDELEZAJI MILKI BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA NYUMBA

yaani makala yote WAZIRI AZITAKA TAASISI ZA FEDHA, WAENDELEZAJI MILKI BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA NYUMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI AZITAKA TAASISI ZA FEDHA, WAENDELEZAJI MILKI BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA NYUMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/waziri-azitaka-taasisi-za-fedha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAZIRI AZITAKA TAASISI ZA FEDHA, WAENDELEZAJI MILKI BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO YA UHABA WA NYUMBA"

Post a Comment

Loading...