Loading...
title : WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KAMISHNA MPYA WA KAZI GABRIEL MALATA
link : WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KAMISHNA MPYA WA KAZI GABRIEL MALATA
WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KAMISHNA MPYA WA KAZI GABRIEL MALATA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna wa Kazi, Bw. Gabriel Malata (wa kwanza kulia). (Kushoto ni) Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Andrew Massawe
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde wakimsikiliza Kamishna wa Kazi Bw. Gabriel Malata (hayupo pichani).
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Andrew Massawe akizungumza jambo walipomtembelea Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama Ofisini kwake Jijini Dodoma, (kulia ni) Kamishna wa Kazi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Gabriel Malata. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Hivyo makala WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KAMISHNA MPYA WA KAZI GABRIEL MALATA
yaani makala yote WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KAMISHNA MPYA WA KAZI GABRIEL MALATA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KAMISHNA MPYA WA KAZI GABRIEL MALATA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/waziri-mhagama-akutana-na-kamishna-mpya.html
0 Response to "WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KAMISHNA MPYA WA KAZI GABRIEL MALATA"
Post a Comment