Loading...

Zoeze la kusajili wakaazi wa Zanzibar katika mfumo kielektroniki (E ID Card) laanza katika Mkoa wa Kusini Unguja

Loading...
Zoeze la kusajili wakaazi wa Zanzibar katika mfumo kielektroniki (E ID Card) laanza katika Mkoa wa Kusini Unguja - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Zoeze la kusajili wakaazi wa Zanzibar katika mfumo kielektroniki (E ID Card) laanza katika Mkoa wa Kusini Unguja, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Zoeze la kusajili wakaazi wa Zanzibar katika mfumo kielektroniki (E ID Card) laanza katika Mkoa wa Kusini Unguja
link : Zoeze la kusajili wakaazi wa Zanzibar katika mfumo kielektroniki (E ID Card) laanza katika Mkoa wa Kusini Unguja

soma pia


Zoeze la kusajili wakaazi wa Zanzibar katika mfumo kielektroniki (E ID Card) laanza katika Mkoa wa Kusini Unguja

 Zoezi la uandikishaji wananchi wa Zanzibari katika mfumo wa kidigitali limeanza rasmi leo Sept 8, 2018 katika Mkoa wa Kusini Wilaya ya Kati Unguja. Ambapo idadi kubwa ya wananchi imejitokeza kujiandikisha ili waweze kupata kitambulisho ya kielektroniki (E-ID CARD). Mapema wiki hii rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein alizindua Vituo vya Usajili wa Vitambulisho vya Mzanzibar na Uzinduzi wa Uimarishaji Mfumo wa Usajili kielektroniki hafla iliofanyika katika viwanja vya Ofisi hiyo Dunga Wilaya ya Kati Unguja.
Wananchi wakiendelea kuandikishwa.
Mwitikio wa wananchi ulikuwa ni mkubwa sana.
Wananchi wakingoja foleni ili kuingia katika chumba cha kuandikishwa.


Hivyo makala Zoeze la kusajili wakaazi wa Zanzibar katika mfumo kielektroniki (E ID Card) laanza katika Mkoa wa Kusini Unguja

yaani makala yote Zoeze la kusajili wakaazi wa Zanzibar katika mfumo kielektroniki (E ID Card) laanza katika Mkoa wa Kusini Unguja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Zoeze la kusajili wakaazi wa Zanzibar katika mfumo kielektroniki (E ID Card) laanza katika Mkoa wa Kusini Unguja mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/zoeze-la-kusajili-wakaazi-wa-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Zoeze la kusajili wakaazi wa Zanzibar katika mfumo kielektroniki (E ID Card) laanza katika Mkoa wa Kusini Unguja"

Post a Comment

Loading...