Loading...
title : BENKI YAJINASUA KWENYE HASARA,YATANGAZA KUPATA FAIDA
link : BENKI YAJINASUA KWENYE HASARA,YATANGAZA KUPATA FAIDA
BENKI YAJINASUA KWENYE HASARA,YATANGAZA KUPATA FAIDA
YAJIVUNIA FAIDA YA BIL 1.4/- ROBO YA TATU 2018
BENKI ya Biashara ya DCB imefanya juhudi za makusudi kuhakikisha inatoka kwenye hasara iliyopata mwaka 2017 ya Sh.bilioni 1.6 na kurudi kwenye faida na kwamba baadhi ya hatua zilizochukuliwa ni kuboresha mfumo wa endeshaji biashara ambapo gharama za uendeshaji zimeshuka na huduma mpya za kidigitali zimeanzishwa ambapo zimevutia wateja wengi zaidi kufungua account na hivyo kupunguza kwa kiasi kikubwa gharama zitokanazo na amana za wateja.
Hayo yameelezwa na Benki ya DCB jijini Dar es Salaam wakati ikitangaza kufanikiwa kupata faida ya Sh. bilioni 1.4 katika kipindi kinachoishia Septemba mwaka 2018 huku ikiipiku hasara ya Sh.bilioni 1.6 iliyopatikana kipindi kama hicho mwaka 2017 ambayo inawakilisha ongezeko la asilimia 187.Faida hiyo ni kwa kipindi cha robo tatu ya mwaka 2018.
Taarifa ya DCB inaeleza kuwa moja ya huduma za kidigitali ambazo benki imezindua ni akaunti ya kidijiti (DCB Digital Account), DCB Kibubu Digital Account na DCB FDR Digital account.Hivyo akaunti hizo zinamuwezesha mteja wao kufungua akaunti na kufanya miamala yote ya kibenki, kutunza fedha na kuwekeza kwa kutumia simu yake ya mkononi.
Kuhusu kukua kwa faida ,benki hiyo imesema kukua huko kwa faida umechagizwa na ukuaji wa mikopo ghafi ya wateja kutoka Sh. bilioni 89.3 Septemba mwaka 2017 kufikia Sh. bilioni 91.3 mwezi Septemba, 2018. Ukuaji huo umechagizwa na utoaji wa mikopo ambapo mikopo ya jumla ya Sh.bilioni 50 imetolewa hadi kufikia Septemba mwaka 2018.
"Idadi ya wateja imeongezeka kutoka 144,445 Desemba mwaka 2017, kufikia wateja 157,366 Septemba mwaka 2018. Mapato halisi ya benki yatokanayo na riba yameimarika katika robo ya tatu ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka uliopita hali ambayo imechagizwa na mkazo wa benki katika kuongeza amana za gharama nafuu kupitia bidhaa za amana za kidijiti, usimamizi wa mizania wenye ufanisi na usimamizi wa gharama za uendeshaji wa benki. Uwiano wa mikopo ghafi na jumla ya amana za benki umeongezeka kwa asilimia 3.1 ikilinganishwa na robo ya pili ya mwaka huu.

Hivyo makala BENKI YAJINASUA KWENYE HASARA,YATANGAZA KUPATA FAIDA
yaani makala yote BENKI YAJINASUA KWENYE HASARA,YATANGAZA KUPATA FAIDA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YAJINASUA KWENYE HASARA,YATANGAZA KUPATA FAIDA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/benki-yajinasua-kwenye-hasarayatangaza.html
0 Response to "BENKI YAJINASUA KWENYE HASARA,YATANGAZA KUPATA FAIDA"
Post a Comment