Loading...

DC MJEMA ACHANGIA 500,000 CHUO CHA MADRASA KINONDONI , AHIMIZA MAADILI, WANANCHI KUIUNGA MKONO SERIKALI.

Loading...
DC MJEMA ACHANGIA 500,000 CHUO CHA MADRASA KINONDONI , AHIMIZA MAADILI, WANANCHI KUIUNGA MKONO SERIKALI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MJEMA ACHANGIA 500,000 CHUO CHA MADRASA KINONDONI , AHIMIZA MAADILI, WANANCHI KUIUNGA MKONO SERIKALI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MJEMA ACHANGIA 500,000 CHUO CHA MADRASA KINONDONI , AHIMIZA MAADILI, WANANCHI KUIUNGA MKONO SERIKALI.
link : DC MJEMA ACHANGIA 500,000 CHUO CHA MADRASA KINONDONI , AHIMIZA MAADILI, WANANCHI KUIUNGA MKONO SERIKALI.

soma pia


DC MJEMA ACHANGIA 500,000 CHUO CHA MADRASA KINONDONI , AHIMIZA MAADILI, WANANCHI KUIUNGA MKONO SERIKALI.







Mwamba wa habari 
Na. John Luhende
Waumini   wakiislamu Wilayani  wametakiwa kusimama katika imani zao na kuwelekeza watoto wao  mambo mema yanayo  mpendeza mwenyezi Mungu ili Taifa lisipungukiwe wasomi kwa kukosa wataalamu kisa watoto wameshindwa kuendelea na masomo kwa kujiingiza katika mabo yasiyo faa ikiwemo matumizi ya dawa za kulevya.




DC Mjema ameyasema hayo katika maulidi ya Mtume Muhamad(S.A.W) na sherehe ya kutimzia miaka tisa ya kuanzishwa kwa Madrasa  iliyo kinondoni ,na kuongeza kuwa kunafaida kubwa kuwalea watoto katika misingi ya dini kwani yatamsaidia mtoto na Taifa kupata wafanyakazi na raia wema.


‘’Tumekuwa na watu hawana maadili wanawalaghai na kuwa hadaa watoto wakie na wakiume nakuwaingiza katika matumizi ya dawaza kulevya  wazazi tunakazi kulisimamia hili ‘’alisema 

Aidaha amewataka kuitunza amani ya nchi na kuiunga mkono serika  kwa kufanya kazi na kudumisha amani  na kuwa na mshikamano , na kusema kuwa Serikali kali imeendelea kutoa mikopo nafuu kwa wananchi hasa vijana na akinamama waweze kuendeleza bishara na kujikwamua kiuchumi. 

“Nnyiye akinamama wa  wa kinondoni msikubali kukaka bila kazi serikali imekupeni fura kopeni mfanye biasha mikopo haina riba mytawezeshwa kuchimba madini kilimo , na sisi hapa pwani tunayo Bahari kopeni zana za uvuvi  “ alisema.

Hata hivyo amewausia wasicha na kujitunza wasikatishe masomo kwaq kudanywa kwa taamaa ya vitu na kuwatia moyo kuwa wanaweza wasikate taamaa kwani wananwake wengi wamefanikiwa kuwa na elimu kubwa na kushika nyadhifa  kubwa kitaifa .

“Tanzania ya viwanda inahitaji wasomi someni ili mlisaidie taifa msiige mabo ya hovyo katika mitandao tuchague mema  na tuwe waamifu kwa jamii Mola wetu anatuusi mema”alisema 

Pamoja na hayo DC Mjema amechangia jumla ya shilingi 50,000 kwa chuo hicho kwaajili ya kununulia mahema na viti vitakavyo saidi katika kuendeleza miradi ya kikundi hicho.

Madrasa  hiyo  ya akinamama  ilianzishwa na Mufti  wa Tanzani Shekh  Abbubakari Zubery bin ALLY  baada ya akina mama wa Kinondoni kumuomba baada ya wanafunzi kuongezeka ambapo ilianza na wana funzi 72 na sasa inawanafunzi wakium 119 na wakike 72.






Hivyo makala DC MJEMA ACHANGIA 500,000 CHUO CHA MADRASA KINONDONI , AHIMIZA MAADILI, WANANCHI KUIUNGA MKONO SERIKALI.

yaani makala yote DC MJEMA ACHANGIA 500,000 CHUO CHA MADRASA KINONDONI , AHIMIZA MAADILI, WANANCHI KUIUNGA MKONO SERIKALI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA ACHANGIA 500,000 CHUO CHA MADRASA KINONDONI , AHIMIZA MAADILI, WANANCHI KUIUNGA MKONO SERIKALI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dc-mjema-achangia-500000-chuo-cha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MJEMA ACHANGIA 500,000 CHUO CHA MADRASA KINONDONI , AHIMIZA MAADILI, WANANCHI KUIUNGA MKONO SERIKALI."

Post a Comment

Loading...