Loading...
title : DC MJEMA :WATAKAOSHINDWA KUSHUGHULIKIA KERO ZA WANANCHI WATUPISHE.
link : DC MJEMA :WATAKAOSHINDWA KUSHUGHULIKIA KERO ZA WANANCHI WATUPISHE.
DC MJEMA :WATAKAOSHINDWA KUSHUGHULIKIA KERO ZA WANANCHI WATUPISHE.
Na.John Luhende
Mwamba wa habari
IMEELEZWAKUWA baadhi ya viongozi wa siasa , serikali na watumishi wa umma wamekuwa na hawatekelezi majukumu yao ipasavyo na jambo ambalo limesabababisha keronyingi za wananchi kutotatuliwa kwa wakati.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Sophia Mjema akiwa katika ziara maalumu ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika kata ya Upanga Mashariki na kusema kuwa ilikutatua kero za wananchi wa Wilaya ya Ilala ameandaa mkutano na viongozi hao ilikuwapamajuku kwaajili ya kushughuikia kero za wananchi.
“Tumegundua kuwa kunabaadhi ya viongozi wenzetu katikangazi za chini wamekuwa hawashughulikii kero za wananchi sasa nitaandaa mkutano nitawaita wote tupeane majukumu “alisema
Aidha DC Mjema amesema kiongozi atakayeshindwa kwenda na kasi yake katika kushughulika na matatiza ya wananchi watawekwa pembeni.
“Tutagwakero zote kwa kila kiongozi ashughulikie na akishindwa nitaomba mamlaka zinahusika zimweke pembeni maana atakuwa ameshindwa kwenda na kasi yetu”alisema
Nao baadhi ya wananchi waliopata nafasi yakutoa kero katika mkutano huo wamemshukuru DC. Mjema kwa kuona umuhimu wa kuwasikiliza nakuoba zifanyiwe kazi ilikuondokana nazo,hukukero zao kubwa katika eneo hilo zikiwa nyumba za kupanga za shirika la nyumba NHC,ubovu wa barabara, maji na migogoro ya ardhi.
Hivyo makala DC MJEMA :WATAKAOSHINDWA KUSHUGHULIKIA KERO ZA WANANCHI WATUPISHE.
yaani makala yote DC MJEMA :WATAKAOSHINDWA KUSHUGHULIKIA KERO ZA WANANCHI WATUPISHE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA :WATAKAOSHINDWA KUSHUGHULIKIA KERO ZA WANANCHI WATUPISHE. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dc-mjema-watakaoshindwa-kushughulikia.html
0 Response to "DC MJEMA :WATAKAOSHINDWA KUSHUGHULIKIA KERO ZA WANANCHI WATUPISHE."
Post a Comment