Loading...

DC MURO AVIONYA VYAMA VYA SIASA KUTODUMAZA MAENDELEO

Loading...
DC MURO AVIONYA VYAMA VYA SIASA KUTODUMAZA MAENDELEO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MURO AVIONYA VYAMA VYA SIASA KUTODUMAZA MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MURO AVIONYA VYAMA VYA SIASA KUTODUMAZA MAENDELEO
link : DC MURO AVIONYA VYAMA VYA SIASA KUTODUMAZA MAENDELEO

soma pia


DC MURO AVIONYA VYAMA VYA SIASA KUTODUMAZA MAENDELEO

Na Imma Msumba, Arumeru

Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe.Jerry Muro amevitaka vyama vya siasa kuacha  malumbano na mvutano isiyokuwa na tija kwa wananchi wa Arumeru na badala yake amewataka kuungana na serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Arumeru.

Mh. Muro ameyasema hayo baada ya kuingilia kati mgogoro wa umiliki wa jengo ambalo awali lilikuwa likitumiwa na chama cha ushirika kata ya Ilikiurei hatua iliyosababisha kufungwa kwa ofisi ya serikali ambayo ilikuwa ikihudumia wananchi wa vitongoji viwili.

Kwa upande wao wananchi wanaoishi katika vitongoji hivyo mbali na kumpongeza Dc Muro kwa kuchukua hatua kwa haraka kuwa ofisi hizo zifunguliwe wamesema uamuzi huo utawasaidia kupata huduma ambazo wamekuwa wakizikosa kwa muda mrefu kutokana na mvutano wa umiliki wa jengo hilo kutoka kwenye vyama viwili vya siasa.

Baadhii ya Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe.Jerry Muro alipokuwa akizungumza nao


Hivyo makala DC MURO AVIONYA VYAMA VYA SIASA KUTODUMAZA MAENDELEO

yaani makala yote DC MURO AVIONYA VYAMA VYA SIASA KUTODUMAZA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MURO AVIONYA VYAMA VYA SIASA KUTODUMAZA MAENDELEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dc-muro-avionya-vyama-vya-siasa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DC MURO AVIONYA VYAMA VYA SIASA KUTODUMAZA MAENDELEO"

Post a Comment

Loading...