Loading...

DC MVOMERO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE MOROGORO KWA KUTOA MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA

Loading...
DC MVOMERO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE MOROGORO KWA KUTOA MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DC MVOMERO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE MOROGORO KWA KUTOA MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DC MVOMERO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE MOROGORO KWA KUTOA MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA
link : DC MVOMERO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE MOROGORO KWA KUTOA MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA

soma pia


DC MVOMERO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE MOROGORO KWA KUTOA MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA


Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Mh. Mohamed Utaly ambaye alikuwaMgeni Rasmi katika Hafla ya Kitaaluma iliyo ambatana na Shukrani pamoja pongezi kwa mwanafunzi Bora kitaifa kidato cha Sita Bw. Anthony Mulokozi katika Shule ya Sekondari ya Mzumbe, Morogoro akitoa hotuba yake ambapo alimpongeza Anthony Mulokozi kwa kufanya vizuri, pia aliwapongeza walimu kwa kuendelea kuwa na juhudi za kuwafundisha wanafunzi kwa bidii na mwisho alisema kuwa juhudi zote hizi za elimu bora zinatokana na Serikali kuamua kulipa swala la elimu kipaumbele zaidi.
Mkuu wa Shule ya Sekondari Mzumbe Bw. Wenceslaus Mushi akielezea malengo ya Hafla hiyo ambayo ilikuwa ni ya kitaaluma zaidi na licha ya kuipongeza na kutoa Shukurani kwa Serikali lakini pia alimpongeza Tanzania One Anthony Mulokozi kwa kuwa Mwanafunzi Bora kidato cha sita kwa mwaka 2018 pamoja na wanafunzi wengine wote waliofanya vizuri pia aliwapongeza walimu kwa kuendelea kuwa na bidii ya kuwafundisha wanafunzi kwa weredi.
Afisa Elimu wa Shule za Sekondari Wilaya ya Mvomero Bw. Omat Sanga akizungumza neno wakati wa hafla hiyo ya kitaaluma iliyo ambatana na kutoa shukrani pamoja na pongezi katika Shule ya Sekondari Mzumbe .



Hivyo makala DC MVOMERO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE MOROGORO KWA KUTOA MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA

yaani makala yote DC MVOMERO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE MOROGORO KWA KUTOA MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DC MVOMERO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE MOROGORO KWA KUTOA MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dc-mvomero-aipongeza-shule-ya-sekondari.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "DC MVOMERO AIPONGEZA SHULE YA SEKONDARI MZUMBE MOROGORO KWA KUTOA MWANAFUNZI BORA KIDATO CHA SITA"

Post a Comment

Loading...