Loading...
title : DKT. ABBASI AHIMIZA VIONGOZI WA MKOA WA SIMIYU KUTANGAZA NA KUTETEA MAGEUZI YANAYOFANYWA NA SERIKALI
link : DKT. ABBASI AHIMIZA VIONGOZI WA MKOA WA SIMIYU KUTANGAZA NA KUTETEA MAGEUZI YANAYOFANYWA NA SERIKALI
DKT. ABBASI AHIMIZA VIONGOZI WA MKOA WA SIMIYU KUTANGAZA NA KUTETEA MAGEUZI YANAYOFANYWA NA SERIKALI

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, akitoa mada ya umuhimu wa mawasiliano ya kimkakati mbele ya viongozi mbalimbali wa mkoa wa Simiyu. Kwenye wasilisho lake amesisitiza kutangaza na kutetea mageuzi yanayofanywa na Serikali ya amamu ya tano.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Mheshimiwa Anthony Mtaka pamoja na viongozi wengine wa mkoa huo waliohudhuria kikao cha uwasilishaji wa mada iliyohusu umuhimu wa mawasiliano ya kimkakati katika kutangaza ahadi za serikali.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji wa Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, mheshimiwa Anthony Mtaka (katikati) na Katibu Tawala wa mkoa huo Jumanne Sagini.
Hivyo makala DKT. ABBASI AHIMIZA VIONGOZI WA MKOA WA SIMIYU KUTANGAZA NA KUTETEA MAGEUZI YANAYOFANYWA NA SERIKALI
yaani makala yote DKT. ABBASI AHIMIZA VIONGOZI WA MKOA WA SIMIYU KUTANGAZA NA KUTETEA MAGEUZI YANAYOFANYWA NA SERIKALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. ABBASI AHIMIZA VIONGOZI WA MKOA WA SIMIYU KUTANGAZA NA KUTETEA MAGEUZI YANAYOFANYWA NA SERIKALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dkt-abbasi-ahimiza-viongozi-wa-mkoa-wa.html
0 Response to "DKT. ABBASI AHIMIZA VIONGOZI WA MKOA WA SIMIYU KUTANGAZA NA KUTETEA MAGEUZI YANAYOFANYWA NA SERIKALI"
Post a Comment