Loading...
title : DKT SHEIN AZINDUA MFUMO WA KUIMARISHA USALAMA KATIKA MJI WA ZANZIBAR WAFANYIKA
link : DKT SHEIN AZINDUA MFUMO WA KUIMARISHA USALAMA KATIKA MJI WA ZANZIBAR WAFANYIKA
DKT SHEIN AZINDUA MFUMO WA KUIMARISHA USALAMA KATIKA MJI WA ZANZIBAR WAFANYIKA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein akibonyeza kitufe kuashiria Uzinduzi wa mradi wa Mfumo wa kuimarisha usalama katika mji wa Zanzibar uliofanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdull Wakil Kikwajuni mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein akitoa hatuba ya Uzinduzi wa mradi wa Mfumo wa kuimarisha usalama katika mji wa Zanzibar uliofanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdull Wakil Kikwajuni mjini Zanzibar.
Makamanda pamoja na Wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Uzinduzi wa mradi wa Mfumo wa kuimarisha usalama katika mji wa Zanzibar uliofanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdull Wakil Kikwajuni mjini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Haji Omar Kheir akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa mradi wa Mfumo wa kuimarisha usalama katika mji wa Zanzibar uliofanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdull Wakil Kikwajuni mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali katika Uzinduzi wa mradi wa Mfumo wa kuimarisha usalama katika mji wa Zanzibar uliofanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdull Wakil Kikwajuni mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein kushoto akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt,Abdalla Juma Sadalla(MABODI)Mara baada ya kuasili katika Uzinduzi wa mradi wa Mfumo wa kuimarisha usalama katika mji wa Zanzibar uliofanyika katika Ukumbi wa Idrisa Abdull Wakil Kikwajuni mjini Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
Hivyo makala DKT SHEIN AZINDUA MFUMO WA KUIMARISHA USALAMA KATIKA MJI WA ZANZIBAR WAFANYIKA
yaani makala yote DKT SHEIN AZINDUA MFUMO WA KUIMARISHA USALAMA KATIKA MJI WA ZANZIBAR WAFANYIKA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT SHEIN AZINDUA MFUMO WA KUIMARISHA USALAMA KATIKA MJI WA ZANZIBAR WAFANYIKA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dkt-shein-azindua-mfumo-wa-kuimarisha.html
0 Response to "DKT SHEIN AZINDUA MFUMO WA KUIMARISHA USALAMA KATIKA MJI WA ZANZIBAR WAFANYIKA"
Post a Comment