Loading...
title : DKT. TULIA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA FEDHA KWA AJILI YA MAENDELEO YA CHUO CHA ST. MARK’S JIJINI DAR
link : DKT. TULIA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA FEDHA KWA AJILI YA MAENDELEO YA CHUO CHA ST. MARK’S JIJINI DAR
DKT. TULIA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA FEDHA KWA AJILI YA MAENDELEO YA CHUO CHA ST. MARK’S JIJINI DAR
Naibu Spika wa Bunge Mh. Dkt. Tulia Ackson akimwakilisha Spika wa Bunge Mh. Job Ndungai aliongoza Harambee ya changizo la fedha kwa ajili ya maendeleo chuo cha St. Mark’s ambacho kipo Buguruni Malapa Jijini Dar es Salaam.
Katika harambee hiyo Dkt. Tulia aliwezesha kuchangisha Tsh Milioni 284 kwa umahili mkubwa ambapo alitumia njia mbalimbali pamoja na mistari ya Bibilia ambayo iliwahamasisha watu wengi kuchangia jambo ambalo wengi hawakutarajia.
Katika harambee hiyo pamoja na waumini na wageni mbalimbali kuhamasishwa kuchangia fedha hizo na Dkt. Tulia, lakini pia bila woga aliwabana Maaskofu, wachungaji na wainjilisti ili wapate kuchangia katika harambee hiyo.
Naibu Spika wa Bunge Mh. Dkt Tulia Ackson akizindua rasmi harambee ya kuchangia maendeleo ya chuo cha St. Mark's ambapo alisema kuwa yeye hato ongea mengi zaidi ya kukusanya fedha kwa kuwa jambo hilo ni muhimu.
Mgeni rasmi Naibu Spika wa Bunge Mh. Dkt Tulia Ackson(Kushoto) akipokea zawadi kutoka chuo cha St. Mark's.
Mgeni Rasmi Naibu Spika wa Bunge Mh. Dkt Tulia Ackson pamoja na Meza kuu wakitoa mkono wa salam wakati waumini na wageni waalikwa walipokuwa wakitoa sadaka.
Waumini, Waalikwa mbalimbali pamoja na watumishi wa Chuo cha St. Mark's wakiwa katika Harambee ya kuchangisha fedha kwa ajili ya maboresho ya Chuo hicho.
Kwa ambao wangependa kuchangia wanaweza kutumia njia zifuatazo
TIGO PESA : 0677058716
CRDB BANK: 0150237155300 (HOLLAND BRANCH)
TIB : 004600000860601 (SAMORA DAR ES SALAAM)
(Picha zote na Fredy Njeje)
Hivyo makala DKT. TULIA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA FEDHA KWA AJILI YA MAENDELEO YA CHUO CHA ST. MARK’S JIJINI DAR
yaani makala yote DKT. TULIA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA FEDHA KWA AJILI YA MAENDELEO YA CHUO CHA ST. MARK’S JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT. TULIA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA FEDHA KWA AJILI YA MAENDELEO YA CHUO CHA ST. MARK’S JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/dkt-tulia-aongoza-harambee-ya-kuchangia_22.html
0 Response to "DKT. TULIA AONGOZA HARAMBEE YA KUCHANGIA FEDHA KWA AJILI YA MAENDELEO YA CHUO CHA ST. MARK’S JIJINI DAR"
Post a Comment