Loading...

FAMILIA YA MO YATANGAZA BILIONI MOJA ATAKAYETOA TAARIFA MUHIMU.

Loading...
FAMILIA YA MO YATANGAZA BILIONI MOJA ATAKAYETOA TAARIFA MUHIMU. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa FAMILIA YA MO YATANGAZA BILIONI MOJA ATAKAYETOA TAARIFA MUHIMU., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : FAMILIA YA MO YATANGAZA BILIONI MOJA ATAKAYETOA TAARIFA MUHIMU.
link : FAMILIA YA MO YATANGAZA BILIONI MOJA ATAKAYETOA TAARIFA MUHIMU.

soma pia


FAMILIA YA MO YATANGAZA BILIONI MOJA ATAKAYETOA TAARIFA MUHIMU.

Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
familia ya Mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji imetangaza ndogo nono kwa mtu yoyote atakayetoa taarifa muhimu zitakazipelekea kupatikana kwa mfanyabiashara huyo.

Akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam Msemaji Azim Dewji, amesema kuwa mtu huyo atapewa zawadi ya bilioni moja ya kitanzania.

Mfanyabiashara huyo alitekwa  na watu wasiojulikana waliokuwa na silaha za moto leo saa 11 Alfajiri wakati akiingia kufanya mazoezi Gym ya Colosseum, Oysterb

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, inasemekana watu hao wamefyatua risasi hewani kuwatishia watu walikuwa karibu na eneo hilo kabla ya kuondoka naye.



Hivyo makala FAMILIA YA MO YATANGAZA BILIONI MOJA ATAKAYETOA TAARIFA MUHIMU.

yaani makala yote FAMILIA YA MO YATANGAZA BILIONI MOJA ATAKAYETOA TAARIFA MUHIMU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala FAMILIA YA MO YATANGAZA BILIONI MOJA ATAKAYETOA TAARIFA MUHIMU. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/familia-ya-mo-yatangaza-bilioni-moja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "FAMILIA YA MO YATANGAZA BILIONI MOJA ATAKAYETOA TAARIFA MUHIMU."

Post a Comment

Loading...