Loading...

IGP SIRRO ASEMA WAMEKATA SILAHA NNE IKIWEMO YA KIVITA NDANI YA GARI LILILOTUMIKA KUMTEKA MO

Loading...
IGP SIRRO ASEMA WAMEKATA SILAHA NNE IKIWEMO YA KIVITA NDANI YA GARI LILILOTUMIKA KUMTEKA MO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa IGP SIRRO ASEMA WAMEKATA SILAHA NNE IKIWEMO YA KIVITA NDANI YA GARI LILILOTUMIKA KUMTEKA MO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : IGP SIRRO ASEMA WAMEKATA SILAHA NNE IKIWEMO YA KIVITA NDANI YA GARI LILILOTUMIKA KUMTEKA MO
link : IGP SIRRO ASEMA WAMEKATA SILAHA NNE IKIWEMO YA KIVITA NDANI YA GARI LILILOTUMIKA KUMTEKA MO

soma pia


IGP SIRRO ASEMA WAMEKATA SILAHA NNE IKIWEMO YA KIVITA NDANI YA GARI LILILOTUMIKA KUMTEKA MO

Na Said Mwishehe

MKUU wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amesema wamekata silaha nne ikiwemo ya kivita ambayo inarisasi 19.

Sirro amesema hayo muda huu wakati anaendelea kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu tukio la kupatikana kwa Mfanyabiashara Mohammed Dewji 'MO'. Ametaja silaha hizo ni AK 47, bastola tatu na risasi 16 ambazo zilikuwa ndani ya gari iliyohusika kumteka MO.

Ameongeza kwamba hata hivyo watekaji hao walijaribu kuichoma moto gari hiyo kwa lengo la kupoteza ushahidi lakini ikashindikana .

IGP Sirro amesema uchunguzi unaendelea ili kubaini watekaji hao na kwamba kokote walioko watatafutwa na hatimaye wapatikane wakiwa hai au wamekufa .

Tutaendelea kuwapa taarifa zaidi...endelea kufuatilia Michuzi Blog
KUU wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari katika viwanja vya Gymkana


Hivyo makala IGP SIRRO ASEMA WAMEKATA SILAHA NNE IKIWEMO YA KIVITA NDANI YA GARI LILILOTUMIKA KUMTEKA MO

yaani makala yote IGP SIRRO ASEMA WAMEKATA SILAHA NNE IKIWEMO YA KIVITA NDANI YA GARI LILILOTUMIKA KUMTEKA MO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO ASEMA WAMEKATA SILAHA NNE IKIWEMO YA KIVITA NDANI YA GARI LILILOTUMIKA KUMTEKA MO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/igp-sirro-asema-wamekata-silaha-nne.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "IGP SIRRO ASEMA WAMEKATA SILAHA NNE IKIWEMO YA KIVITA NDANI YA GARI LILILOTUMIKA KUMTEKA MO"

Post a Comment

Loading...