Loading...
title : JESHI LA POLISI DAR YATOZA FAINI YA BILIONI 2.74 MAKOSA YA BARABARANI
link : JESHI LA POLISI DAR YATOZA FAINI YA BILIONI 2.74 MAKOSA YA BARABARANI
JESHI LA POLISI DAR YATOZA FAINI YA BILIONI 2.74 MAKOSA YA BARABARANI

Mambosasa aliyasema hayo jana ambapo alifafanua kuwa jeshi hilo linaendelea na operesheni ya kuwasaka madereva wa magari na watumiaji wa vyombo vya moto ambao hawazingatii sheria ya usalama barabarani.
Alisema katika operesheni hiyo wamefanikiwa kukamata magari madogo,maroli, pikipiki na daladala ambapo wahusika wametozwa faini ambapo zaidi ya Sh.Bilioni 2.74 zimepatikana.
Kamanda Mambosasa amewawataka watu ambao wametozwa faini za barabani kulipa kwa wakati kwani kuna tabia ya kulimbikiza deni na wataendelea kuwasaka wadaiwa wote na iwapo watashindwa gari litachukuliwa na kuwekwa Polisi.
Hivyo makala JESHI LA POLISI DAR YATOZA FAINI YA BILIONI 2.74 MAKOSA YA BARABARANI
yaani makala yote JESHI LA POLISI DAR YATOZA FAINI YA BILIONI 2.74 MAKOSA YA BARABARANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA POLISI DAR YATOZA FAINI YA BILIONI 2.74 MAKOSA YA BARABARANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/jeshi-la-polisi-dar-yatoza-faini-ya.html
0 Response to "JESHI LA POLISI DAR YATOZA FAINI YA BILIONI 2.74 MAKOSA YA BARABARANI"
Post a Comment