Loading...
title : JK AKUTANA NA MCHEZAJI SAMUEL ETOO JIJINI DAR LEO
link : JK AKUTANA NA MCHEZAJI SAMUEL ETOO JIJINI DAR LEO
JK AKUTANA NA MCHEZAJI SAMUEL ETOO JIJINI DAR LEO
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi yenye jina la Mchezaji huyo ambaye pia ni Balozi wa Bia ya Castle Lager, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akipeana mkono na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo (kulia kwake) na Balozi wa Bia ya Castle Lager hapa nchini, Ivo Mapunda (kushoto kwake), pamoja na ukumbe walioambayana nao.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akikiwa ameambatana na Mgeni wake Mchezaji Samuel Etoo na ujumbe wake wakati akiwasindikiza baada ya mazungumzo yao leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Msanii Dokii kwa Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon na vilabu vya Barcelona, Chelsie na Intermilan ambaye sasa anakipiga katika Klabu ya FC Qatar, Samuel Etoo, aliyemtembelea leo ofisini kwake, Masaki jijini Dar es salaam.
Hivyo makala JK AKUTANA NA MCHEZAJI SAMUEL ETOO JIJINI DAR LEO
yaani makala yote JK AKUTANA NA MCHEZAJI SAMUEL ETOO JIJINI DAR LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala JK AKUTANA NA MCHEZAJI SAMUEL ETOO JIJINI DAR LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/jk-akutana-na-mchezaji-samuel-etoo_13.html
0 Response to "JK AKUTANA NA MCHEZAJI SAMUEL ETOO JIJINI DAR LEO"
Post a Comment