Loading...
title : KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAENDELEA NA VIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA
link : KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAENDELEA NA VIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA
KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAENDELEA NA VIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA
Mwenyekiti kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Mhe. Oscar Mukasa akiongoza kikao cha pamoja baina ya Wajumbe wa kamati hiyo na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo na watendaji wake wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu hatua iliyofikiwa katika utafiti wa upatikanaji wa chanjo ya Ukimwi nchini kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Faustine Ndugulile akitoa ufafanuzi mbele ya Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi katika majadiliano ya taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu hatua iliyofikiwa katika utafiti wa upatikanaji wa chanjo ya Ukimwi nchini katika kikao kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Mwenyekiti kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Mhe. Albert Ntabaliba Obama akizungumza jambo katika majadiliano na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo na watendaji wake wakati wa kupokea taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu hatua iliyofikiwa katika utafiti wa upatikanaji wa chanjo ya Ukimwi nchini kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodo
Mjumbe wa Mwenyekiti kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi, Mhe. Godfrey Mgimwa akizungumza jambo katika majadiliano na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo na watendaji wake wakati wa kupokea taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu hatua iliyofikiwa katika utafiti wa upatikanaji wa chanjo ya Ukimwi nchini kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Mjumbe wa kamati, Mhe. kemirembe Lwota.
Katibu Mkuu, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza na wajumbe kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi wakati wa majadiliano ya taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuhusu hatua iliyofikiwa katika utafiti wa upatikanaji wa chanjo ya Ukimwi nchini katika kikao kilichofanyika leo katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoo, Dkt. Faustine Ndugulile.
Hivyo makala KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAENDELEA NA VIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA
yaani makala yote KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAENDELEA NA VIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAENDELEA NA VIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/kamati-ya-bunge-ya-masuala-ya-ukimwi.html
0 Response to "KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAENDELEA NA VIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA"
Post a Comment