Loading...
title : KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAKUTANA NA WIZARA YA UTUMISHI
link : KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAKUTANA NA WIZARA YA UTUMISHI
KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAKUTANA NA WIZARA YA UTUMISHI
Mwambawahabari
Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa ikiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo imekutana na Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora kwa ajili ya kupokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Rais, Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mhe. Mwanne Nchemba akisisitiza jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kamati hiyo imekutana na Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora kwa ajili ya kupokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Rais , Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Mhe. George Mkuchika akitolea ufafanuzi hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa wakati Kamati hiyo ilipokutana na Wizara yake kwa ajili ya kupokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Rais , Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma.
Hivyo makala KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAKUTANA NA WIZARA YA UTUMISHI
yaani makala yote KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAKUTANA NA WIZARA YA UTUMISHI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAKUTANA NA WIZARA YA UTUMISHI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/kamati-ya-utawala-na-serikali-za-mitaa_29.html
0 Response to "KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAKUTANA NA WIZARA YA UTUMISHI"
Post a Comment