Loading...
title : KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY
link : KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY
KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY
NAODHA wa timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu chini ya Miaka 18 Jesca Ngisaise anatarajia kusafiri kesho alfajiri kuelekea Senegal kwenye majaribio.
Jesca amekuwa zao zuri la vijana katika mchezo wa kikapu nchini akionekana kufanya vizuri pale anapokuwa anapewa nafasi na kama atafanikiwa kufanya vizuri kwenye majaribio hayo atapata nafasi ya kujiunga na NBA ACADEMY.
Jesca amekuwa zao zuri la vijana katika mchezo wa kikapu nchini akionekana kufanya vizuri pale anapokuwa anapewa nafasi na kama atafanikiwa kufanya vizuri kwenye majaribio hayo atapata nafasi ya kujiunga na NBA ACADEMY.
Kama Jesca atafanikwia kujiunga na NBA Academy atakuwa amepiga hatua moja kubwa sana kuelekea kucheza kwenye WNBA nchini Marekani.
Jescar mwenye umri wa miaka 17 na amekua akifanya vizuri katika timu ya Taifa pia aliweza kuchagulia katika timu ya All Stars kwenye mafunzo maalumu ya BWB yaliyofanyika kule Africa kusini mwezi wa nane. Tunamtakia kila la heri aendelee kutuwakilisha vyema.
Hapa nyumbani Jescar anacheza katika timu ya Ukonga Academy na katika ligi ya mkoa wa Dar es salaam iliyomalizika hivi karibuni alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa ligi hiyo.

Naodha wa timu ya Taifa ya Mpira wa Kikapu chini ya Miaka 18 Jesca Ngisaise.
Hivyo makala KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY
yaani makala yote KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/kinda-wa-kikapu-jesca-kuelekea-senegal.html
0 Response to "KINDA WA KIKAPU JESCA KUELEKEA SENEGAL KWA MAJARIBIO YA NBA ACADEMY"
Post a Comment