Loading...
title : KOCHA AZAM FC AZITISHIA SIMBA YANGA.
link : KOCHA AZAM FC AZITISHIA SIMBA YANGA.
KOCHA AZAM FC AZITISHIA SIMBA YANGA.
Kocha mkuu wa timu ya Azam FC,Hans Pluijm amesema Simba na Yanga zinapaswa zijipange kiushindani hasa kuweza kufanikiwa kuishinda timu yake.
Pluijm amefanikiwa kuiongoza timu yake kucheza michezo 9 bila kupoteza, amesema kuwa yupo tayari kwa ushindani hana hofu na timu yoyote Tanzania.
"Simba na Yanga ni timu za kawaida, wala mimi hazinipi shida kabisa na ukubwa wa majina yake,ikumbukwe kuwa mpira wa miguu unachezwa uwanjani,uwezo wa vijana wangu ni mzuri kuliko wale wa Simba na Yanga" alisema
Hivyo makala KOCHA AZAM FC AZITISHIA SIMBA YANGA.
yaani makala yote KOCHA AZAM FC AZITISHIA SIMBA YANGA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KOCHA AZAM FC AZITISHIA SIMBA YANGA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/kocha-azam-fc-azitishia-simba-yanga.html
0 Response to "KOCHA AZAM FC AZITISHIA SIMBA YANGA."
Post a Comment