Loading...

MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA MAZO CHA MARUKU MKOANI KAGERA

Loading...
MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA MAZO CHA MARUKU MKOANI KAGERA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA MAZO CHA MARUKU MKOANI KAGERA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA MAZO CHA MARUKU MKOANI KAGERA
link : MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA MAZO CHA MARUKU MKOANI KAGERA

soma pia


MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA MAZO CHA MARUKU MKOANI KAGERA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Nyabisi Malyatabu ambaye ni Meneja wa Kanda wa Taasisi ya Utafitiwa Kahawa Tanzania (TACRI), Maruku mkoani Kagera  kuhusu kilimo bora cha kahawa wakati  alipotembelea  Taasisi hiyo, Oktoba 9, 2018. Watatu kushoto ni Naibu Waziri wa kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mhogo aina ya tegemeo unaostawi vizuri katika maeneo ya Kanda ya Ziwa  wakati alipotembelea Kituo cha Utafiti cha Maruku mkoani Kagera, Oktoba 9, 2018. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt, Mary Mwanjelwa na kushoto ni Mkuu wa Kituo, Innocent Ngyetabwa.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vyakula mbalimbali vilivyotengenezwa kwa kutumia unga wa mhogo, ndizi na nafanka nyingine wakati alipotembelea kituo cha Utafiti  cha Maruku mkoani Kagera, Oktoba 9, 2018. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt, Mary Mwanjelwa na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Chuo cha  Kilimo - MATI- Maruku, Laurent Luhembe. 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama uzalishaji wa miche ya Kahawa bora kwa kutumia majani ya kahawa wakati alipotembelea Kituo cha Utafiti wa Kahawa Tanzania (TACRI)  cha Maruku mkoani Kagera, Oktoba 9, 2018.  Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Kilimo, Dkt. Mary Mwanjelwa na kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera,  Brigedia Jenerali, Marco Elisha Gaguti na wapili kushoto ni Afisa Ugani wa TACRI, Aretas Urassa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA MAZO CHA MARUKU MKOANI KAGERA

yaani makala yote MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA MAZO CHA MARUKU MKOANI KAGERA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA MAZO CHA MARUKU MKOANI KAGERA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/majaliwa-atembelea-kituo-cha-utafiti-wa_10.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA UTAFITI WA MAZO CHA MARUKU MKOANI KAGERA"

Post a Comment

Loading...