Loading...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Afanya Ziara Kutembelea Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba

Loading...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Afanya Ziara Kutembelea Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Afanya Ziara Kutembelea Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Afanya Ziara Kutembelea Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba
link : Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Afanya Ziara Kutembelea Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba

soma pia

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Afanya Ziara Kutembelea Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba

Balozi Sdeif akisalimiana na Madaktari na baadhi ya mabingwa wa Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Abdullah Mzee Mkoani alipofika kukagua uwajibikaji wa Madaktari katika utoaji huduma bora za Afya kwa Wananchi.

Mkuu wa Maabara ya Hospitali ya Abullah Mzee Mkoani Dr. Mohamed Mjaka akimueleza Balozi Seif  mtiririko wa majukumu yao ya kila siku katika kuwahduumia Wananchi wanaofika  kupata huduma za Afya.
Mkuu wa Hospitali ya Abdulla Mzee Mkoani akimkaguza Balozi Seif sehemu mbali mbali za Vitengo vya Hospitali hiyo ili kujiridhisha na huduma zinazotolewa.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akiuonya Uongozi wa Wuizara ya Afya kumuwajibisha mtendaji au Kiongozi ye yote wa Wizara hiyo atakayeendelea kuzembea kununua Vifaa vya kupozea umeme kwa Maabara ya Hospitali ya Rufaa ya Abdullah Mzee Mkoani alipofanya ziara fupi.
Makabu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi akimjulia hali Bibi Amina Abass aliyelazwa Hospitali ya Rifaa ya Abdullah Mzee Mkoani baada ya kupata ajali ya gari ukiwa ni utaratibu wake wa kawaida kwa baadhi ya siku kufanya hivyo.Picha na – OMPR – ZNZ.

Hivyo makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Afanya Ziara Kutembelea Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba

yaani makala yote Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Afanya Ziara Kutembelea Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Afanya Ziara Kutembelea Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/makamu-wa-pili-wa-rais-wa-zanzibar-mhe_98.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi Afanya Ziara Kutembelea Hospitali ya Abdallah Mzee Mkoani Pemba"

Post a Comment

Loading...