Loading...
title : MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO
link : MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO
MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO
Katibu kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Ndg. Pamela Pallangyo akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ziara za ukaguzi wa miradi ya Maendeleo mbele ya Makatibu Kamati katika kikao kilichofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Msaidizi kamati za Bunge Masuala ya Fedha na Uchumi, Ndg. Michael Chikokoto akizungumza jambo wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa ziara za ukaguzi wa miradi ya Maendeleo yaliyozingatia mwongozo wa ziara za kamati mbele ya Makatibu Kamati (hawapo kwenye picha) katika kikao kilichofanyika leo Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Kamati za Huduma na Maendeleo ya Jamii, Ndg. Dickson Bisile
Mkurugenzi wa Kamati za Bunge, Ndg. Athuman Hussein (wa pili kushoto) akizungumza na Makatibu Kamati (hawapo kwenye picha) wakati wa uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa ziara za ukaguzi wa miradi ya Maendeleo yaliyozingatia mwongozo wa ziara za kamati mbele ya Makatibu Kamati katika kikao kilichofanyika leo Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kushoto ni Katibu kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Ndg. Grace Bidya na kulia ni Katibu kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Ndg. Pamela Pallangyo
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Hivyo makala MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO
yaani makala yote MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/makatibu-kamati-waandaa-taarifa-ya.html
0 Response to "MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ZIARA ZA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO"
Post a Comment