Loading...
title : MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA USIMAMIZI WA SDGs KATIKA BUNGE
link : MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA USIMAMIZI WA SDGs KATIKA BUNGE
MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA USIMAMIZI WA SDGs KATIKA BUNGE
Mwenyekiti wa Kikao cha cha kuandaa Taarifa kuhusu Usimamizi wa Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) katika Bunge Ndg. Athuman Hussen akiongoza kikao hicho kilichowahusisha Makatibu Kamati kutoka Ofisi ya Bunge kilichofanyika leo katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Makatibu Kamati wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika kikao cha kuandaa Taarifa kuhusu Usimamizi wa Utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) katika Bunge.Kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Hivyo makala MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA USIMAMIZI WA SDGs KATIKA BUNGE
yaani makala yote MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA USIMAMIZI WA SDGs KATIKA BUNGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA USIMAMIZI WA SDGs KATIKA BUNGE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/makatibu-kamati-waandaa-taarifa-ya_11.html
0 Response to "MAKATIBU KAMATI WAANDAA TAARIFA YA USIMAMIZI WA SDGs KATIKA BUNGE"
Post a Comment