Loading...
title : MAKOSA YA BARABARANI DAR YAIINGIZA ZAIDI YA BIL 2.74/- KWA JESHI LA POLISI DAR,MAMBOSASA ATOA ONYA
link : MAKOSA YA BARABARANI DAR YAIINGIZA ZAIDI YA BIL 2.74/- KWA JESHI LA POLISI DAR,MAMBOSASA ATOA ONYA
MAKOSA YA BARABARANI DAR YAIINGIZA ZAIDI YA BIL 2.74/- KWA JESHI LA POLISI DAR,MAMBOSASA ATOA ONYA
MAKOSA mbalimbali ambayo yanafanywa na wanaoendesha vyombo vya moto barabarani yamesababisha Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupata zaidi ya Sh.Bilioni 2.74.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa amesema hayo leo ambapo amefafanua jeshi hilo linaendelea na operesheni ya kuwasaka madereva wa magari na watumiaji wa vyombo vya moto ambao hawazingatii sheria ya usalama barabarani.
Amefafanua katika operesheni hiyo wamefanikiwa kukamata magari madogo,maroli, pikipiki na daladala ambapo wahusika wametozwa faini ambapo zaidi ya Sh.Bilioni 2.74 zimepatikana.
Pia amesema kuwa ni vema madereva kuhakikisha wanafuata sheria za usalama barabarani huku akionya tabia ya baadhi ya madereva wanaondesha magari huku wakichati muda wote.
Amesema ni vema wakaacha tabia ya kuendelea kutumia simu kwani madhara yake ni makubwa na ni sawa na kukitafuta kifo.
Pia Kamanda Mambosasa amewawataka watu ambao wametozwa faini za barabani kulipa kwa wakati kwani kuna tabia ya kulimbikiza deni na wataendelea kuwasaka wadaiwa wote na iwapo watashindwa gari litachukuliwa na kuwekwa Polisi.
Hivyo makala MAKOSA YA BARABARANI DAR YAIINGIZA ZAIDI YA BIL 2.74/- KWA JESHI LA POLISI DAR,MAMBOSASA ATOA ONYA
yaani makala yote MAKOSA YA BARABARANI DAR YAIINGIZA ZAIDI YA BIL 2.74/- KWA JESHI LA POLISI DAR,MAMBOSASA ATOA ONYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKOSA YA BARABARANI DAR YAIINGIZA ZAIDI YA BIL 2.74/- KWA JESHI LA POLISI DAR,MAMBOSASA ATOA ONYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/makosa-ya-barabarani-dar-yaiingiza.html
0 Response to "MAKOSA YA BARABARANI DAR YAIINGIZA ZAIDI YA BIL 2.74/- KWA JESHI LA POLISI DAR,MAMBOSASA ATOA ONYA"
Post a Comment