Loading...
title : MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA KWENYE TAMASHA LA URITHI.
link : MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA KWENYE TAMASHA LA URITHI.
MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA KWENYE TAMASHA LA URITHI.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitembelea banda la Maliasili na Utalii katika Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4555 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mkewe Marry, akiangalia bidhaa ya asili katika banda la wajasiriamali katika Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018, kutoka kushoto ni Bibi Eliamulika Ayo, Naibu Waziri Maliasili na Utalii Josephat Hasunga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4576 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipokea zawadi ya ngoma na kikombe kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikundi cha Wasanii Arusha Fred Thomas, wakati akikagua mabanda kwenye Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4584 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na mkewe Marry, wakiangalia bidhaa ya bidhaa iliyobuniwa na mwanadada Glory Silayo (kushoto), katika Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4598 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea maandamano, katika Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4649 Kikundi cha Sanaa cha Ngoma ya Waadzabe kikitoa burudani katika Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4649 Mwanamuziki Faustina Charles (Nandi) akikitoa burudani katika Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4749 PMO_4754 PMO_4763 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi waliyohudhuria wakati wa kufunga Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri Maliasili na Utalii Josephat Hasunga, akizungumza na wananchi waliyohudhuria kwenye Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018, (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harisson Mwakyembe, akipiga makofi, wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi kwenye Tamasha la Urithi, lililofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Oktoba 13, 2018, kulia ni Naibu Waziri Maliasili na Utalii Josephat Hasunga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipeana mkono na Msanii Ali Kiba, k
Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA KWENYE TAMASHA LA URITHI.
yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA KWENYE TAMASHA LA URITHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA KWENYE TAMASHA LA URITHI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/matukio-katika-picha-waziri-mkuu.html
0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA KWENYE TAMASHA LA URITHI."
Post a Comment