Loading...

MUHEZA WAMEELEWA KUWA NYUMBA NI CHOO-MPOTO

Loading...
MUHEZA WAMEELEWA KUWA NYUMBA NI CHOO-MPOTO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MUHEZA WAMEELEWA KUWA NYUMBA NI CHOO-MPOTO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MUHEZA WAMEELEWA KUWA NYUMBA NI CHOO-MPOTO
link : MUHEZA WAMEELEWA KUWA NYUMBA NI CHOO-MPOTO

soma pia


MUHEZA WAMEELEWA KUWA NYUMBA NI CHOO-MPOTO

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
MSANII wa Muziki wa Kughani na Kiongozi wa Mjomba Bendi, Mrisho Mpoto amesema kampeni ya Kitaifa ya Usafi wa  Mazingira na uhamasishaji wa ujenzi wa Vyoo bora iliyoanza mkoani Tanga katika Wilaya ya Muheza imeweza kubadilisha jamii ya wilaya hiyo kwa kiasi kikubwa.

akizungumza na Michuzi Media Mpoto amesema kuwa sote kwa umoja wetu kama Mjomba Bendi tumedhamiria kila jamii tutakoyoifikia inabdilika kwa kuwa na choo bora ambacho kitasadia kutunza na Mazingira hili kuepukana na magonjwa ya Mlipuko yanayotokana na kujisaidia hovyo.

"Sote kwa pamoja na umoja wetu Watnzania tudumishe uzalendo na kuhakikisha tunalinda afya zetu na familia kwa kuwa na vyoo vilivyobora kwa kuambiana ukweli kuwa 'tusichukulie poa nyumba ni choo"amesema Mpoto.

Mpoto amesema kuwa hakuna Raha Kubwa kama kuwa na nyumba yenye choo bora ambayo unasikia furaha kumkaribisha mgeni pindi anpohitaji kwenda msalani kuliko vile mtu anaomba kwenda msalani alafu unashikwa na kigugumizi.
Msanii wa Muziki wa Kughani na Kiongozi wa Mjomba Bendi Mrisho Mpoto akzingumza na Wakazi wa Kata ya Tingeni Wilayani Muheza Mkoani Tanga ambapo mrsho mpoto ameweza kufikisha ujumbe wa ujenzi wa Choo Bora kwa wakzi wa kata hiyo ambao wamehamsika kuwa na kuta nne za choo kwa kila nyumba kwa kuungna nae kuwa 'Usichukilie Nyumba ni Choo'
Mkuu wa Wilaya ya Muheza akiwasalimia wakazi wa Wilaya hiyo ambao wamefika kusikiliza kampeni ya Nyumba ni choo inayoongozwa na Mrosho Mpoto
 Wasanii wa Mjomba Bendi , Ismail na Nuruelly wakiwatumbuiza wakazi wa Muheza katika Kampeni ya Wizara ya Afya Msichukulie Poa Nyumba ni Choo.
 Sehemu ya Wakazi wa Kata ya Tingeni Wilaya ya Muheza wakifatilia Kampeni ya Nyumba ni Choo inayoendeshwa bendi ya Mjomba chini ya mrisho Mpoto
 Sehemu ya Wakazi wa Kata ya Tingeni Wilaya ya Muheza wakifatilia Kampeni ya Nyumba ni Choo inayoendeshwa bendi ya Mjomba chini ya mrisho Mpoto.


Hivyo makala MUHEZA WAMEELEWA KUWA NYUMBA NI CHOO-MPOTO

yaani makala yote MUHEZA WAMEELEWA KUWA NYUMBA NI CHOO-MPOTO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MUHEZA WAMEELEWA KUWA NYUMBA NI CHOO-MPOTO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/muheza-wameelewa-kuwa-nyumba-ni-choo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MUHEZA WAMEELEWA KUWA NYUMBA NI CHOO-MPOTO"

Post a Comment

Loading...