Loading...
title : MWENYEKITI CCM TEMEKE ALMISHI HAZALI , AWAONGOZA BODA BODA KUWAJULIAHALI MAJERUHI WA AJALI ZA PIKIPIKI, HOSPITALI YA TEMEKE.
link : MWENYEKITI CCM TEMEKE ALMISHI HAZALI , AWAONGOZA BODA BODA KUWAJULIAHALI MAJERUHI WA AJALI ZA PIKIPIKI, HOSPITALI YA TEMEKE.
MWENYEKITI CCM TEMEKE ALMISHI HAZALI , AWAONGOZA BODA BODA KUWAJULIAHALI MAJERUHI WA AJALI ZA PIKIPIKI, HOSPITALI YA TEMEKE.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali, akimjulia hali majeruni wa ajali ya pikipiki katika Hospita ya Temeke wengine ni viongozi na wana chama wa chama cha wamiliki na Madereva wa Pikipiki Wilaya ya Temeke.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali, akimpa zawadi majeruni wa ajali ya pikipiki katika Hospita ya Temeke wengine ni viongozi na wana chama wa chama cha wamiliki na Madereva wa Pikipiki Wilaya ya Temeke.
Viongozi na wana chama wa chama cha wamiliki na Madereva wa Pikipiki Wilaya ya Temeke wakiwaombea duwa majeruhi waliolazwa wodini katika hospital ya Temeke.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali, akiwa na viongozi wa CMPD Temeke wakisubiri kuingia wodini kwa ona majeruhi wa Pikipiki katika Hospitali ya Mko Temeke.Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali, watatu kutoka kushoto rangi alivaa nguo nyeupe na nyeusi ni Afisa afya mkuu wa Hospital ya Temeke Judith Nyamboka,wakwanza upande wa kulia mwenye shatinyeupe ni mjumbe wa mkutano mkuu CCM, Joseph Yona , w engine ni viongozi na wana chama wa chama cha wamiliki na Madereva wa Pikipiki Wilaya ya Temeke.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wana chama wa chama cha wamiliki na Madereva wa Pikipiki Wilaya ya Temeke aliye karibu na mwenyekiti aliye vaa nguo nyeusi na rangi nyeupe ni Afisa afya mkuu wa Hospital ya Temeke Judith Nyamboka.(Picha zote na John Luhende)
Na.John Luhende
Mwamba wa habari
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke Almishi Hazali, amewangoza chama chama cha wamiliki na Madereva wa Pikipiki Mkoa wa Dar es salaam CMPD, Wilaya ya Temeke kuwaona na kuwapa msaada wagonjwa majehi walipata ajali za pikipiki waliolazwa katika hospitali ya Temeke kwaajili matibabu.
Akizunguza hopitalini hapo Hazali ameupongeza uongozi wa Hospitali hiyo kwa huduma nzuri wanazozitoa kwa wagonjwa , na kuwataka wamiliki na madereva kuwa na moyo huo wa kujitoa nakuwataka kuendesha mafunzo kwa kilakata ili Temeke iwe na umaoja unaojulikana na kuaminika na Jeshi la Polisi.
“Kwanza namshukuru sana Mungu kwa ziara hii ya leo imenifanya nijifunze mengi hususani katika mambo haya ya Boda boda , kwamba kuna mambo ambayo nimkero wengine hawavai Helmet,hawavai viatu wanavaa sendos yote haya tumeweza kuzungumza na kuptia mafunzo haya watakuwa walimu kwa wenzao”alisema
Kwa upande wake Afisa Afya mkuu wa hospitali ya Temeke Judith Nyamboka, ameshukuru ujio wa kundi hilo na kuwaomba siku nyigine waweze kurudi kutoa misaada na wamewaomba wajitolee damu kwani majeruhi wengi wanahitaji damu ili iweze kuwa saidia na kuokoa uhai wao.
‘’Kwaniaba ya uongozi wa hospitali na washukuru sana kwa kujali wagonjwa wa Temeke kwani mngeweza kwenda hata hospitali nyingine ila mmeona Temeke Mungu awajalie , nawaomba pia nviongozi mje tupange namna mtakavyo weza kutusaidia mjitolee damu wenzenu wanapata shida na damu ahaiuzwi” alisema
Naye mwentekiti wa chama cha wamiliki na madereva wa pikipiki mkoa wa Dar es salaam Wilaya ya Temeke Said Salum Milanzi, amewataka madereva kushikamana wasije kuyumbishwa kawani kuanawatu hawananianjema wanaweza kuwa tawanya, huku akiwakumbusha kuyafanya kawa vitendo mabo yote waliyo gfundishwa katika mafumnzo hayo ilikupunguza ajali.
Nao majeruhi wa walipata msaada huo wamemshukuru Mhe.Almishi na viongozi alioambatana nao kutoa msaada huo na kwaombea kwa Mungu ili waweze kuzidishi walipopungukiwa na wasiwasahau wagonjwa maana hali hiyo hawakuiomba bali imetokea tu.
Hivyo makala MWENYEKITI CCM TEMEKE ALMISHI HAZALI , AWAONGOZA BODA BODA KUWAJULIAHALI MAJERUHI WA AJALI ZA PIKIPIKI, HOSPITALI YA TEMEKE.
yaani makala yote MWENYEKITI CCM TEMEKE ALMISHI HAZALI , AWAONGOZA BODA BODA KUWAJULIAHALI MAJERUHI WA AJALI ZA PIKIPIKI, HOSPITALI YA TEMEKE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI CCM TEMEKE ALMISHI HAZALI , AWAONGOZA BODA BODA KUWAJULIAHALI MAJERUHI WA AJALI ZA PIKIPIKI, HOSPITALI YA TEMEKE. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mwenyekiti-ccm-temeke-almishi-hazali.html
0 Response to "MWENYEKITI CCM TEMEKE ALMISHI HAZALI , AWAONGOZA BODA BODA KUWAJULIAHALI MAJERUHI WA AJALI ZA PIKIPIKI, HOSPITALI YA TEMEKE."
Post a Comment