Loading...
title : NAIBU WAZIRI MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI
link : NAIBU WAZIRI MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI
NAIBU WAZIRI MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiweka saini katika daftari la wageni baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), tayari kwa ziara ya kikazi jijini Arusha.Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Kilimanjaro,Mrakibu Msaidizi Zauda Mohamed na katikati ni Mkuu wa Kituo cha Polisi KIA,Mrakibu Msaidizi Abel Mgode .Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), tayari kuelekea jijini Arusha kwa ziara ya kikazi.Katikati ni Mkuu wa Kituo cha Polisi KIA, Mrakibu Msaidizi Abel Mgode na kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Kilimanjaro, Mrakibu Msaidizi Zauda Mohamed.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Hivyo makala NAIBU WAZIRI MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI
yaani makala yote NAIBU WAZIRI MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NAIBU WAZIRI MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/naibu-waziri-masauni-awasili-jijini.html
0 Response to "NAIBU WAZIRI MASAUNI AWASILI JIJINI ARUSHA KWA ZIARA YA KIKAZI"
Post a Comment