Loading...

NSSF yashiriki maonesho ya wiki ya Taifa ya vijana mkoani TANGA

Loading...
NSSF yashiriki maonesho ya wiki ya Taifa ya vijana mkoani TANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NSSF yashiriki maonesho ya wiki ya Taifa ya vijana mkoani TANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NSSF yashiriki maonesho ya wiki ya Taifa ya vijana mkoani TANGA
link : NSSF yashiriki maonesho ya wiki ya Taifa ya vijana mkoani TANGA

soma pia


NSSF yashiriki maonesho ya wiki ya Taifa ya vijana mkoani TANGA

Shirika la Hifadhi ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii NSSF ni kati ya Tasisisi za serikali iliyoshiriki kwenye maonyesho ya wiki ya Taifa ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Tangamano wilaya ya Tanga mjini Mkoani Tanga ambapo wananchi wameombwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye mpango wa hiari . 

Kaimu meneja wa mkoa waTanga Bi Aisha Nyemba amesema kuwa katika maonyesho haya wananchi wote wanaotaka kujiunga kwa hiari na kujiwekea akiba wanaweza kufanya hivyo na kwamba NSSF itawatambua na kuweka katika rekodi za wananchama wapya. 

“Ukija hapa katika banda letu utaweza kuandikishwa na kutambulika kwenye rekodi zetu hivyo ni fursa ya pekee kwa wananchama wapya kujiandikisha katika maonyesho haya”alisema bi Aisha. Bi Aisha amesema kuwa tangu maonyesho haya yaanze Oktoba 8 mwaka 2018 wananchi wengi wamejitokeza kujiandikisha na kupata elimu kuhusiana na umuhimu wa mafao ya NSSF na kuvutiwa hasa hasa katika eneo la matibabu bure. 

Wananchi wanaojiandikisha kwenye mpango wa hiari ni wale waliopo kwenye sekta isiyo rasmi kama vile waendesha bodaboda,mama lishe, wajasiriamali na wengine wengi. 

Maonyesho haya ya Taifa ya wiki ya vijana yaatafikia kilele oktoba 14 mwaka huu ambapo yataendana na sherehe za uzimaji wa mwenge kitaifa katika uwanja wa Mkwakwani.
Kaimu meneja wa mkoa NSSF mkoa wa Tanga bi Aisha Nyemba akitoa maelekezo kwa mkazi wa Tanga ,Yahaya Katubu alipofika kwenye banda la NSSF,wakati wa maonesho  wiki ya vijana yanayofanyika katika viwanja vya Tangamano mkoani Tanga
OFisa madai wa shirika la Taifa ya Hifadhi ya Jamii NSSF Athuman Bakari akitoa amelekezo kwa wananchi wa mkoa wa TANGA waliotembelea kwenye maonesho ya wiki ya kitaifa ya Vijana yanayofanyika katika viwanja vya Tangamano Tanga
Ofisa Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF Bi Aisha Sango akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea katika banda la NSSF kwenye maonesho ya wiki ya Kitaifa ya Vijana inayofanyoka katika viwanja vya Tangamano mkoani TANGA
Ofisa mikopo wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii NSSF Athuman Bakari akitoa maelekezo kwa wananchi waliofika kwenye viwanja vya Tangamano yanapofanyika maonyesho ya wiki ya vijana.



Hivyo makala NSSF yashiriki maonesho ya wiki ya Taifa ya vijana mkoani TANGA

yaani makala yote NSSF yashiriki maonesho ya wiki ya Taifa ya vijana mkoani TANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NSSF yashiriki maonesho ya wiki ya Taifa ya vijana mkoani TANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/nssf-yashiriki-maonesho-ya-wiki-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NSSF yashiriki maonesho ya wiki ya Taifa ya vijana mkoani TANGA"

Post a Comment

Loading...