Loading...

PREMIER BET YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 15

Loading...
PREMIER BET YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 15 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa PREMIER BET YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 15, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : PREMIER BET YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 15
link : PREMIER BET YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 15

soma pia


PREMIER BET YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 15

Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Premier Bet leo imekabidhi zawadi kwa washindi 15 waliocheza bahati nasibu ya jackpot yenye thamani ya shilingi milioni 79 ambapo washindi hao 15 kila mmoja alifanikiwa kuondoka na kitita cha zaidi ya milioni 5 za kitanzania .

Premier Bet imeendeleza kuhamasisha wateja wake kuendelea kucheza na kuweza kuibuka mshindi wa Jackpot itakayochezwa kila siku ya Jumanne na Jumamosi.

Premier Bet imeendelea kubadilisha maisha ya watanzania wengi kupitia jackpot inayochezeshwa kila jumanne na jumamosi. Washindi hao 15 wametoka katika mikoa mbalimbali ikiwemo Mtwara, Tabora na Dar Es Salaam.
Meneja Rasilimali watu na Utawala kutoka Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya Premier Bet Amanda Kombe(katikati) akizungumza na waadishi wa habari leo kuhusu droo iliyochezeshwa na kampuni hiyo na kupatikana washindi 15 kwenye droo ya Jackpot ya Premier Bet. Kushoto ni
Mhamasishaji wa Mchezo wa Kubashiri wa Premier Bet Salama Jabir.
Picha na Mohamed Ibrahim, Michuzi Blog.
Mhamasishaji wa Mchezo wa Kubashiri wa Premier Bet Salama Jabir akionesha namna ya kubet wakati walipotangazwa washindi 15 wa Droo ya Jackpot ya Premier Bet. Kulia ni Meneja Rasilimali watu na Utawala kutoka Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya Premier Bet Amanda Kombe.
Washindi wakiwa kwenye picha ya pamoja.


Hivyo makala PREMIER BET YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 15

yaani makala yote PREMIER BET YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 15 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala PREMIER BET YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 15 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/premier-bet-yakabidhi-zawadi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "PREMIER BET YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI 15"

Post a Comment

Loading...