Loading...
title : Rais Dk Shein azindua mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar
link : Rais Dk Shein azindua mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar
Rais Dk Shein azindua mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar
Baadhi ya Viongozi na Maafisa kutoka taasisi mbali mbali za Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba nyake katika Uzinduzi wa mradi wa mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 3/10/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za Uzinduzi wa Mradi wa mfumo wa uimarishaji wa usalama katika Mji wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 3/10/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akibonyeza kitufe kama ishara ya Uzinduzi wa mradi wa mfumo wa uimarishaji wa usalama katika Mji wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,wakiwepo na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,Spika wa baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid,Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Sadala [Picha na Ikulu.] 3/10/2018.
Baadhi ya Magari yenye mitambo maalum ya kuchunguzia mizigo yakiwa katika maeneo ya Ofisi ya mitambo ya kisasa ya mradi wa Mfumo wa Kuimarisha Usalama kwa Mji wa Zanzibar ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alitembelea Mitambo hiyo leo na kufanya uzinduzi rasmi,[Picha na Ikulu.] 3/10/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Akram Mjengo Mjawiri wakati alipoingia katika gari lenye mitambo maalum ya kuchunguzia mambo mbali mbali wakati wa Uzinduzi wa kituo cha mfumo wa Uimarishaji wa Usalama katika Mji wa Zanzibar uliofanyika leo hapo Ofisi za Kituo kiliopo Maisara, kinachoendeshwa na Kampuni ya Rom Solutions Security Division Nchini Romania,[Picha na Ikulu.] 3/10/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akifungua pazia kuashiria kuzindua kituo cha mfumo wa Kuimarisha Usalama katika Mji wa Zanzibar uliofanyika leo hapo Ofisi za Kituo kiliopo Maisara, kinachoendeshwa na Kampuni ya Rom Solutions Security Division Nchini Romania kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi,(wa pili kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Haji Omar Kheri,[Picha na Ikulu.] 3/10/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiagana na Bw.George Alexandru Mkuu wa Mradi mfumo wa Kuimarisha Usalama katika Mji wa Zanzibar unachoendeshwa na Kampuni ya Rom Solutions Security Division Nchini Romania,kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar baada ya uzinduzi wa kituo hicho uliofanyika leo Maisara Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 3/10/2018.
Viongozi na Kampuni ya Rom Solition wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba nyake katika Uzinduzi wa mradi wa mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 3/10/2018.
Baadhi ya Viongozi na Maafisa kutoka taasisi mbali mbali za Serikali wakiwa katika Uzinduzi wa Mradi wa mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar uliofanyika leo katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 3/10/2018.
Hivyo makala Rais Dk Shein azindua mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar
yaani makala yote Rais Dk Shein azindua mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein azindua mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rais-dk-shein-azindua-mfumo-wa.html
0 Response to "Rais Dk Shein azindua mfumo wa uimarishaji wa usalama wa Zanzibar"
Post a Comment