Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATANO WATAKAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
link : RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATANO WATAKAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATANO WATAKAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Ubelgiji hapa nchini Peter Van Acker Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Norway hapa nchini Elisabeth Jacobsen Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Palestina hapa nchini Hamdi Abuali mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Kuwait hapa nchini Mubarak Mohammad Alsehaijan mara baada ya kupokea Hati zake Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATANO WATAKAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATANO WATAKAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATANO WATAKAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rais-dkt-magufuli-apokea-hati-za_4.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WATANO WATAKAOWAKILISHA NCHI ZAO HAPA NCHINI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM"
Post a Comment