Loading...

RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MASPIKA WA MABUNGE NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRICA.

Loading...
RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MASPIKA WA MABUNGE NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRICA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MASPIKA WA MABUNGE NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRICA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MASPIKA WA MABUNGE NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRICA.
link : RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MASPIKA WA MABUNGE NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRICA.

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MASPIKA WA MABUNGE NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRICA.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Rwanda Mhe.Edda Mukabagwiza akiwa miongoni mwa ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi  za Jumuiya ya Madola Barani Afrika walipofika Ikulu Mjini Zanziobar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa  Maspika wa Mabunge ya Nchi  za Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Madola Mhe.Job Ndugai (wa pili kulia),walipofika Ikulu Mjini Zanziobar leo,
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed SheiN akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Madola Mhe.Job Ndugai wakati alipoongoza ujumbe wa Maspika wa Mabunge ya Nchi  za Jumuiya ya Madola Barani Afrika walipofika Ikulu Mjini Zanziobar leo,[Picha na Ikulu.] 04/10/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa Maspika kutoka Nchi za Wanachama wa Jumuiya ya Madola Mhe.Job Ndugai baada ya mazungumzo na Ujumbe wa  Maspika wa Mabunge ya Nchi  za Jumuiya ya Madola Barani Afrika,ulipofika Ikulu Mjini Zanziobar leo.  Picha na IKULU


Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MASPIKA WA MABUNGE NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRICA.

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MASPIKA WA MABUNGE NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRICA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MASPIKA WA MABUNGE NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRICA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rais-wa-zanzibar-dkt-shein-akutana-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR DKT SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MASPIKA WA MABUNGE NCHI ZA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRICA."

Post a Comment

Loading...