Loading...
title :
link :
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohanmed Shein akipokea Mwenge wa Uhuru Kitaifa kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Nd,Charles Francis Kabeho katika sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa,Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika leo katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akimsikiliza Nd,Sakum Issa Ameir katika Banda la Vijana kutoka Baraza la Vijana Zanzibar katika maonesho maalum ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyofanyika leo katika uwanja wa Tangamano Jijini Tanga,sambamba na sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa na Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere zilizofanyika leo katika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga
Baadhi ya wananchi wa Mkoani Tanga wakiwa katika Uwanja wa Mkwakwani katika sherehe za Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius K.Nyerere na Wiki ya Vijana zilizofanyika leo katika Jiji la Tanga
Hivyo makala
yaani makala yote
Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_14.html
0 Response to " "
Post a Comment