Loading...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Wado ya Wazazi ya Watoto Njiti (Kangaroo) Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Loading...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Wado ya Wazazi ya Watoto Njiti (Kangaroo) Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Wado ya Wazazi ya Watoto Njiti (Kangaroo) Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Wado ya Wazazi ya Watoto Njiti (Kangaroo) Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Wado ya Wazazi ya Watoto Njiti (Kangaroo) Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.

soma pia


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Wado ya Wazazi ya Watoto Njiti (Kangaroo) Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekitri wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akitembelea Hospitali ya Kivunge wakati wa ziara yake kutembelea Wodi ya Wazazi ya Watoto Njiti akiwa katika viwanja vya hospitali hiyo,kulia Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Hamad Rashid Mohammed na kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Vuai Mwinyi wakielekea katika Wodi ya Wazazi ya Watoto Njiti katika hospitali hiyo. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali Mzazi aliyejifungua Watoto Watatu Njiti Bi. Mwanahawa Juma Mussa, alipofika kuwajulia hali akiwa katika ziara yake ya kutembelea Hospitahi hiyo ilioka katika Mkoa wa Kaskazini Unguja. akipata maelezo kwa Daktari wa Wodi hiyo Dr. Sharifa Mohammed Mwinyi, katikati Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali Mzazi wa Mtoto Njiti katika Wodi ya Wazzazi Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja Bi. Asma Haji Hafidh, akiwa na Mtoto wake katika Wodi hiyo kushoto Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na kulia Daktari ya Wadi ya Wazazi ya Watoto Njiti Dr. Sharifa Mohammed Mwinyi.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali Mzazi wa Mtoto Njiti katika Wodi ya Wazzazi Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja Bi. Asma Haji Hafidh, akiwa na Mtoto wake katika Wodi hiyo kushoto Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed na kulia Daktari ya Wadi ya Wazazi ya Watoto Njiti Dr. Sharifa Mohammed Mwinyi.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsalimia na kumjulia hali Mzazi Bi. Tatu Simai Kombo,akiwa amelezwa katika Wodi ya Wazazi baada ya kujifungua Mtoto Njiti, katika hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.



Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Wado ya Wazazi ya Watoto Njiti (Kangaroo) Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja.

yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Wado ya Wazazi ya Watoto Njiti (Kangaroo) Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Wado ya Wazazi ya Watoto Njiti (Kangaroo) Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-wa_31.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Wado ya Wazazi ya Watoto Njiti (Kangaroo) Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja."

Post a Comment

Loading...