Loading...
title : RC Makonda Awapongeza Maafisa Elimu,Walimu,Wanafunzi na Wadau wa Elimu kwa Kuifanya Dar es Salaam Kushika Namba Moja
link : RC Makonda Awapongeza Maafisa Elimu,Walimu,Wanafunzi na Wadau wa Elimu kwa Kuifanya Dar es Salaam Kushika Namba Moja
RC Makonda Awapongeza Maafisa Elimu,Walimu,Wanafunzi na Wadau wa Elimu kwa Kuifanya Dar es Salaam Kushika Namba Moja
Mwambawahabari
Kufuatia Mkoa wa Dar es salaam kushika nafasi ya kwanza kitaifa kwenye matokeo ya mtihani wa darasa la Saba, Mkuu wa mkoa huo Mhe. Paul Makonda
amewapongeza Maafisa Elimu, Walimu, Waratibu wa Elimu, Wazazi, Wanafunzi na Wadau wa Elimu kwa kuunganisha nguvu na kuifanya Dar es salaam kuendelea kuibuka kidedea.
RC Makonda amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira bora yatakayowawezesha walimu kufanya kazi pasipo usumbufu ili mwisho wa siku wazalishe wanafunzi bora.
Pamoja na hayo RC Makonda amewashukuru kwa kumpa heshima Rais Dkt. John Magufuli aliyeamua kutoa elimu Bure.
Hivyo makala RC Makonda Awapongeza Maafisa Elimu,Walimu,Wanafunzi na Wadau wa Elimu kwa Kuifanya Dar es Salaam Kushika Namba Moja
yaani makala yote RC Makonda Awapongeza Maafisa Elimu,Walimu,Wanafunzi na Wadau wa Elimu kwa Kuifanya Dar es Salaam Kushika Namba Moja Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC Makonda Awapongeza Maafisa Elimu,Walimu,Wanafunzi na Wadau wa Elimu kwa Kuifanya Dar es Salaam Kushika Namba Moja mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rc-makonda-awapongeza-maafisa.html
0 Response to "RC Makonda Awapongeza Maafisa Elimu,Walimu,Wanafunzi na Wadau wa Elimu kwa Kuifanya Dar es Salaam Kushika Namba Moja"
Post a Comment