Loading...

RC MAKONDA AZINDUA UJENZI OFISI ZA WALIMU S/MSINGI VIJIBWENI, CRJE WAKUBALIJUKUMU LA UJENZI.

Loading...
RC MAKONDA AZINDUA UJENZI OFISI ZA WALIMU S/MSINGI VIJIBWENI, CRJE WAKUBALIJUKUMU LA UJENZI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA AZINDUA UJENZI OFISI ZA WALIMU S/MSINGI VIJIBWENI, CRJE WAKUBALIJUKUMU LA UJENZI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA AZINDUA UJENZI OFISI ZA WALIMU S/MSINGI VIJIBWENI, CRJE WAKUBALIJUKUMU LA UJENZI.
link : RC MAKONDA AZINDUA UJENZI OFISI ZA WALIMU S/MSINGI VIJIBWENI, CRJE WAKUBALIJUKUMU LA UJENZI.

soma pia


RC MAKONDA AZINDUA UJENZI OFISI ZA WALIMU S/MSINGI VIJIBWENI, CRJE WAKUBALIJUKUMU LA UJENZI.

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda,Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita, Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, DAS, pamoja na maafisa elimu wakikagua baadhi ya madarasa yaliyojengwa Katika Shule ya Msingi Vijibweni

Rc Makonda akiwaaga Wanafunzi wa Shule ya Msingi Vijibweni Leo mara alipotembelea Shule hiyo.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Paul Makonda leo amezindua ujenzi wa Ofisi moja Kati ya ofisi mbili za kisasa alizoahidiwa na kampuni ya Ujenzi ya CRJE iliyoguswa na Kampeni ya RC Makonda ya Ujenzi wa Ofisi 402 za Walimu Dar es salaam.

Amesema moja kati ya vitu vinavyomnyima usingizi ni pale anapoona walimu wanafanya kazi katika mazingira magumu ikiwemo kufanya kazi chini ya miti na kwenye korido ndio maana ameamua kuanzisha Kampeni ya ujenzi wa ofisi nzuri na zakisasa kwaajili ya walimu ilikuhakikisha heshima ya walimu inarejea.

Akizungumza katika uzinduzi uliofanyika shule ya Msingi Vijibweni Wilayani Kigamboni Makonda amesema uwepo wa mazingira bora ya kufanyia kazi kwa walimu Ndio chachu ya kuongezeka kwa ufaulu ambapo amewapongeza walimu na watendaji wa elimu kwa kuifanya Dar es salaam kuongoza kitaifa katika matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba.

Amesema ofisi hizo zitakuwa na mahitaji yote muhimu ikiwemo ofisi ya mwalimu mkuu, mwalimu mkuu msaidizi, ukumbi wa mikutano, ofisi ya walimu wote, chumba cha mitihani, chumba cha mhasibu,mapokezi, stoo, Vyoo na Bafu.

Kwa upande wao walimu wa sule ya msingi Vijibweni wameeleza kuwa shule hiyo haina ofisi yoyote ya walimu hivyo wamekuwa wakifanyia kazi chini ya miti na kwenye korido ambapo wamemshukuru kwa kuwaletea mfadhili wa kuwajengea  ofisi ya kisasa.


Hivyo makala RC MAKONDA AZINDUA UJENZI OFISI ZA WALIMU S/MSINGI VIJIBWENI, CRJE WAKUBALIJUKUMU LA UJENZI.

yaani makala yote RC MAKONDA AZINDUA UJENZI OFISI ZA WALIMU S/MSINGI VIJIBWENI, CRJE WAKUBALIJUKUMU LA UJENZI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AZINDUA UJENZI OFISI ZA WALIMU S/MSINGI VIJIBWENI, CRJE WAKUBALIJUKUMU LA UJENZI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rc-makonda-azindua-ujenzi-ofisi-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA AZINDUA UJENZI OFISI ZA WALIMU S/MSINGI VIJIBWENI, CRJE WAKUBALIJUKUMU LA UJENZI."

Post a Comment

Loading...