Loading...
title : RORI LAPATA AJARI, WATU 50 WAFARIKI DUNIA.
link : RORI LAPATA AJARI, WATU 50 WAFARIKI DUNIA.
RORI LAPATA AJARI, WATU 50 WAFARIKI DUNIA.
Takribani watu 50 wameuawa baada ya trela ya kusafirisha mafuta kugongana na gari ndogo katika barabara kuu magharibi kwa Jamhuri ya Demokrsi ya Congo.Ajali hiyo ilitokea karibu na mji wa Kisantu, kati ya mji mkuu Kinshasa na bandari ya Matadi.
Watu 100 walipata majeraha mabaya ya moto kwa mujibu wa Atou Matabuana, gavana wa mkono wa wa Kongo Central.
"Moto ulisambaa kwa haraka na kuteketeza nyumba zilizokuwa karibu,"hii ni kwa mujibu wa redio ya Umoja wa Mataifa ya Okapi.
Barabara kati kati mwa nchi zimetelekezwa kwa miaka mingi kutokana na vita.
Mwaka 2012 watu 220 waliuawa wakati trela ya mafuta ilipinduka na kuteketeza vijiji kadhaa.
Mmoja wa wale walioshuhudia aliiambia AFP kuwa aliona milii 53.
Daktari kwenye hospitali moja anayewatibu majeruhi alisema hakujakuwa na muda wa kuwapa matibabu waathiriwa.
'Tuanajaribu kuwasaidia lakini kuna wale wanakufa," Dr resor alisem.
Mji wa Kisantu uko umbali wa kilomita 120 kusini magharib mwa Kinshasa. Chanzo: Bbc.
Hivyo makala RORI LAPATA AJARI, WATU 50 WAFARIKI DUNIA.
yaani makala yote RORI LAPATA AJARI, WATU 50 WAFARIKI DUNIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RORI LAPATA AJARI, WATU 50 WAFARIKI DUNIA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/rori-lapata-ajari-watu-50-wafariki-dunia.html
0 Response to "RORI LAPATA AJARI, WATU 50 WAFARIKI DUNIA."
Post a Comment